Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
3,166
3,816
Nimetoka Rwanda leo, nimerudi Tanzania, jamani Rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aisee, nilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe. Nile bata huko, huku Tanzania hamna wadada wowote.

Lazima nikaoe Rwanda asee wale wadada wana kila kitu, shape, sura tabia dah lazima nioe kule, kumbe huku hamna kitu.
 
Hahahaha!

Kwa hiyo elimu uliyonayo mpaka na kupelekwa hadi Rwanda kikazi....Hicho ndo ulichokichambua kwa elimu hiyo hiyo hadi kukifungulia uzi hapa ambao utachukua nafasi kwenye seva?

Ama umekuja tu kusababisha Civil Unrest?

Mkuu, ulitaka jukwa la Chit chat, watu wajadili ishu za Escrow!!?? Kila jukwaa lina maudhui. Ukiwa serius kila saa utakufa mapema
 
Mkuu mimi nimewahi kuishi Wilaya ya Ngara hapo mpakani Rusumo, tulikuwa tunavuka mpaka na Kuingiamo kama kwenda Kariakoo tu. Rwanda mkuu weka mbali na watoto ni hatareeeee.....Mimi ningewahi kwenda huko kabla ya kupigwa pingu lazima ningerudi na Mhutu/Mtutsi....
 

kwa hiyo alokuzaa wewe ni mwanaume??

icon6.png
Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake
 
Back
Top Bottom