Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa

Mbona ni kawaida tuu mkuu?Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
Yaani wewe ungejulikana ingebidi ufungwe kabisa kwani umekiri mwenyewe kosa la jinai la kutoa rushwaHii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
Ha haa haaa kwi kwi kwi. yaani kuishi kwingi kuona mengi na duniani kuna kila aina ya watu.
Kwanza wewe si Dereva ndiyo mnaodharirisha kazi za watu. Una overspeed kwenye makazi hlf umetoa rushwa unajisifu?
Hii nchi inatakiwa iwe na sheria za kuuwa wala rushwa. Tunatoka povu kukemea wewe unakuja kwa kinywa kipana kbs eti leo umetoa
Ulijua kbs unafanya makosa yaani ilibidi uwe Ukonga muda huu.
Nakumbuka siku moja kwenye UBU Kamanda Mpinga alisema faini wanaweza sasa iwe ni Mahabusu halafu Kifungo.
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
Naona wachangiaji wengi wamekulaumu na wengine kukutukana na hii ndio hulka ya Mswahili.Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa