MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,740
- 1,005
Imetokea Mpanda Juzi.
Nikiwa katika majukumu yangu nikataka kujua nini kilimpata huyu mama aliyeletwa huku ajitambui, paja limekatika vipande vitatu na damu zikimwagika.
MAMA- "kuna MTU alikuwa amekatwa katwa mapanga pale kijijini kwetu usiku, BAADA ya SIKU 3 polisi walianza msako wa waauaji.. Kaya kwa kaya...
Siku moja siki ya tukio hili lililonikuta mimi, nilikuwa KWANGU nimelala na wanangu watatu, mmoja mdogo wa miezi mitatu... Mme wangu alikuwa mbugani amekambika katika zoezi LA uvunaji mpunga... Hivyo nilikuwa peke yangu.
Usiku wa saa7 nikasikia mlango unagongwa na mwanga wa tochi zimezingira nyumba, mshindo wa watu wengi ukasikika ukiniamurisha " FUNGUA NA UBAKI KAMA ULIVYO" Nikaogopa sana nikaanza kutetemeka, nikihisi ni majambazi au wauaji maana zoezi LA MTU kuuliwa kwa mapanga ni kawaida mpanda...
Nikasema nikifungua nitakufa, nikakusanya wanangu nna mdogo nikambeba mgongoni KISHA nikataka nikimbie kupitia mlango wa nyuma, nahisi walisikia nikitembea wakajua natoroka, ndipo waliporisha risasi, nikasikia paja langu LA kulia kama limemwagiwa maji ya moto na nikaanza kujiburuza kwa mguu mmoja damu zkamwagika na nikaishiwa nguvu.
Ndipo walipofungua mlango na kunikuta Niko chini na mwanangu mgongoni.
Mmoja kati yao akasema "MISITEKI" Kumbe mwanamke? Tumekosea, Bahati mabaya."
Wakakimbia wote kwenda kwa wenzao kijijini kingine KISHA BAADA ya mda mfupi wakarejea na gari wakanitia ndani ya gari wakanipeleka Hospital ya mpanda ambapo walishindwa kunitibu na kunituma hospitali ya rufaa mmoja hapa nchini
Ndg zangi walifatlia madai ya kesi polisi ila polisi waliohusika walikimbia wote.
Wakaambiwa hiyo ilikuwa Bahati mbaya na hutokea, ajali kazini nendeni mkakazanie matibabu nasi tufatilie waliohusika taratibu.
Kesi ikaaisha.
Sasa Niko hospitali sijiwezi, mguu unahatari ya kukatwa wote Nisaidieni waandishi kumwambia magufuli hili swala langu"
Mwisho wa nukuu.