Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
- Thread starter
-
- #121
Mkuu mbona wengine tumevusha seva lakini fainali haichezwi? Tupe mbinu za kiintelijensia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
S nayemjua mimi jamani!! Namuonea huruma! Si yule naniliuu
Yaan weka ujuz wako wote hapo mengne yanasameheka kama ulikua huongi incase unakutana nae una hela unarekebisha...Haha... kwa hiyo bora uzingue kote ila sio show.
Inabidi nije piem, nikikuvusha kwa Mark nitajua nimewin tayari, haya ni maneno ya Hazard[emoji23][emoji23]Ila Hazard una ufala mwingi sana mshkaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi code mbona kama zimekua nyepesi sana kwa hacked...S unaemjua wewe jina la nyumban si M labda ndio huyo huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi nije piem, nikikuvusha kwa Mark nitajua nimewin tayari, haya ni maneno ya Hazard[emoji23][emoji23]
Ila Hazard una ufala mwingi sana mshkaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe kaka unamvushaje mdogo wako?
[emoji23][emoji23][emoji1787]
Unawala sana
[emoji23][emoji23]Usiamini sana post za humu...unaweza kukuta mwamba kajifungia zake bafuni mida hii na sabuni yake mkononi[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
M acha zako kwenye nyuzi kama hizi huwezi kumkuta mama la mama wangari mathaai wew sijui umefuata nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi kufumba macho mdogo wangu?Wewe kaka unamvushaje mdogo wako?
Nimekumis zaidi..ile zaiiidiiii..😂
Unaanzaje kunifanannisha na business woman.
Business guru? Mimi level zangu mmu na chit chat
Nimekumis zaidi..ile zaiiidiiii..[emoji23]