Nimetoa boko wakuu

Mimi nashangaa aisee
Sasa unawezaje kuja na ID hii hii unayo wapelekea moto Kaka, Huoni unajianika mtu wang ? [emoji23][emoji23][emoji23]

I'm on that good kush and alcohol
muhusika anakua ashakubali nipandishe mada hewani..bila kumtaja lakini,

Kausoma uzi hapa kacheka sana
 

eti kumuanisha kutoka kwenye server za melo kwenda kwa mark....umeniacha hoi.....ungemwambia nilitaka kukutongoza tena!!!!!!!!angekuelewa tu baharia wangu............πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hyo ni stage muhimu sana ukifanikisha hapo kuna asilimia 60 za kwenda kula....kuvusha server muhimu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…