Nimetishwa na Kauli ya Magufuli, Kauli Iliyotanguliwa na Udictator wa Ajabu wa Kutumia Polisi.

Mhmh ni kweli tupu alichokisema mleta Ila ni bahati Kama mpaka Sasa hajala ban,manake hawa moderetor nahisi ni wazee Wa suti nyeusi ukiandika uzi wenye mrengo Wa kushoto na baba j unakula ban ya laana
Lakini hii ni forum ambayo siku zote inajinadi kwa kauli mbiu ya where we dare to talk openly.......

Sasa ni kwa vipi tena mtoa maoni openly ambaye hajatukana wala kutoa kashfa awe banned?

Tukumbuke pia hata Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 18 inasema kuwa kila mwananchi ana uhuru wa kutoa maoni yake....
 
Tatizo la viongozi wengi wa kiafrika wanakuwa na kiburi kwa kuamini kuwa wao ndiyo :wanaomiliki ' vifaru vya kijeshi na magari ya washawasha.

Wanachoamini wao ni kuwa wataviamrisha vifaru vyao viwapondeponde wananchi wanaoleta fyokofyoko, lakini wanachosahau viongozi hao wengi wa kiafrika ni kuwa vifaru hivyo na magari ya washawasha wamiliki wa vifaa hivyo ni wananchi wenyewe ambao wamevinunua kwa kodi yao.

Ndiyo maana miaka michache iliyopita kule Misri, pamoja na Rais wa wakati huo Mubarak kuamrisha vifaru 'vyake' viingie mitaani kuwapondaponda raia wake, badala yake wananchi hao walivikwea vifaru hivyo kama sisi tunavyoyakwea mabasi ya mwendokasi!!
 
Kwa trend tunayokwenda nayo ya awamu ya 5 ni vyema tukaitafakari kwa makini kauli iliyotolewa na Zitto ya kuwaomba wanaccm wamdhibiti Magu, akaendelea kusisitiza kuwa iwapo wanaccm watashindwa kumdhibiti Presidaa, litageuka kuwa jukumu la Umma wa watanzania kuchukua jukumu hilo......
 
Watanzania vila~za as usual.
Mmekaa kumu~attack mleta mada kwa matusi lakini hamna hata mmoja aliyejitokeza kujaribu kujibu swali lake hata moja, Tunagombana kwa matusi ila sio kwa hoja za msingi.

Mngejaribu kumjibu labda mngeweza kuwabadilisha mawazo watu wenye views sawa na yeye, ila vila~za as usual, hawana argument against wao ni kusupport tu wanavojisikia kwa kufata mihemko ila sio logic.

Kama una akili kweli na hujakurupuka jibu maswali ya mleta mada tujaribu kufikia conclusion.
 
Nilishasema siku nyingi Magufuli ni dikteta mshamba asiye na dira, breki ya mdomo wala kifua cha maneno.

Polepole wengine wanaanza kuona nilichokuwa nasema ni nini.
 
Nilishasema siku nyingi Magufuli ni dikteta mshamba asiye na dira, breki ya mdomo wala kifua cha maneno.

Polepole wengine wanaanza kuona nilichokuwa nasema ni nini.
Na ni kitu cha hatari mno mnapokuwa na Rais wa nchi ambaye hayafanyii editing maneno anayoongea.

Ni utaratibu wa kawaida duniani kwa wakuu wa nchi kusoma speech zilizoandaliwa na wasaidizi wao.

Cha ajabu ni kuwa hilo jambo Magu halitaki na ndiyo inasababisha Rais wa nchi kutoa matamshi ambayo hayastahili kabisa kutolewa na Mkuu wa nchi kama vile kusema atawafanya baadhi ya wananchi waishi kama mashetani!

Inashangaza kuona Mkuu wa nchi anatamka maneno hayo wakati anajua hakuna kitabu chochote cha dini ambacho Mwenyezi Mungu anawaelekeza binadamu kuwafanya binadamu wenzao waishi kama mashetani, badala yake vitabu vyote vitukufu vya dini vinahimiza binadamu wote waishi maisha ya utakatifu ambayo ni kama ya Malaika.
 
Mkuu hata kama uko ulaya kumbuka kuna Interpol!Mie naogopa kusema zaidi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hakuna dhambi kubwa duniani kama woga.
By Godbless Lema, Mbunge wa Arusha mjini.

Tukumbuke kuwa watawala wengi hususani wa kiafrika wanatumia woga wa wananchi wao kufanya mambo mengi maovu.

Hata hivyo watawala hao hao wanaijua vizuri historia ya dunia yetu kuwa hakujawahi kutokea nguvu ya dola iliyowahi kuishinda nguvu ya Umma uliojizatiti tokea kuumbwa kwa dunia.
 
TL. Marandu tatizo unakuwa mkweli kwenye taifa ambalo unafiki unatawala. Uhuni wa CCM Zanzibar Magu na Shein deserve two consecutive life sentence back to back. Huo ndio ukweli.
 
Eti uliomba huko nyuma wapinzani wampe ushirikiano Magufuli!! Uongo mkubwa! Wewe bila aibu uliandika humu kumlaumu Nassary kwa kupongezwa tu Rais. Sijui kosa lake hapo lilikuwa nini? Uwe na kumbukumbu wa kauli zako.
 
INTERPOL WA KAZI GANI NA MIMI? UNAFIKIRI WANAPENDA UMUGABE NA UIDIAMINI? Watu wanamsema Pope, Obama, Putin, tena kwa Uwongo, Nikasumbuliwe na Interpol Mimi Kwa Kumsema Mtu kwa Uhalifu wake ulio dhahiri dhidi ya haki za Kimsingi za Raia. Mnajidanganya sana, Katika Dunia Nii, Magufuli Ni Mtu Mdooooooogo sana! he is no body mwogopeni ninyi. Mimi Nitampa heshima kama Ninavyowaheshimu wanadamu wengine na sii zaidi. Kuwa Kiongozi hakumpi mtu, thamani au Ubora juu ya wanadamu wengine ni fursa anayotakiwa aipokee kwa kutetemeka na sio kujiona Mungu. Narudia tena Mh Magufuli ni Kiumbe kama Viumbe wengine na Siwezi kumwogopa au Kumwabudu. Mimi sihofu Polisi wa Niliko au Interpol kwa Kuwa Sijavunja sheria, Ila Niko Makini na Wanafiki kama Waliomfuata Kadegeya wa Rwanda na Kumuulia Hotelini South Africa. Kwa Hilo Niko fiti, Majirani zangu ni Maredneck, Nje ya Nyumba yangu Kuna Eneo Sensitive Kuna Sheriff officer 24/7 Mimi mwenyewe pamoja na Majirani zangu hatuitagi 911 Akija Mhalifu, well niseme wanapiga 911 baada ya jamaa kuwa historia. Kuna Mkuu mmoja wa Mkoa kachokonoa facebook yangu, akitaka kujiingiza kama Rafiki, Nimefuta Ombi lake, ila akijaribu tena Nitamriport FBI.
mbona lowassa unamuabudu?
 
Mi nimemsikia akiwaambia Polisi wawanyanganye majambazi silaha kwa mbinu yoyote maana wamefundishwa nyingi.
Wewe nawe ni jambazi?
 
Nilishasema siku nyingi Magufuli ni dikteta mshamba asiye na dira, breki ya mdomo wala kifua cha maneno.

Polepole wengine wanaanza kuona nilichokuwa nasema ni nini.
Ulishatumbuliwa unachuki. Usiyemzalendo fisadi na mla rushwa ww
 
Ulishatumbuliwa unachuki. Usiyemzalendo fisadi na mla rushwa ww
Nilishatumbukiwa lini, wapi na kivipi?

Weka wazi hapa.

Nimekula rushwa gani? Iweke hapa. Weka jina langu na ushahidi wa hiyo rushwa.

Ukishindwa wewe mzushi hujui unachoandika.
 
INTERPOL WA KAZI GANI NA MIMI? UNAFIKIRI WANAPENDA UMUGABE NA UIDIAMINI? Watu wanamsema Pope, Obama, Putin, tena kwa Uwongo, Nikasumbuliwe na Interpol Mimi Kwa Kumsema Mtu kwa Uhalifu wake ulio dhahiri dhidi ya haki za Kimsingi za Raia. Mnajidanganya sana, Katika Dunia Nii, Magufuli Ni Mtu Mdooooooogo sana! he is no body mwogopeni ninyi. Mimi Nitampa heshima kama Ninavyowaheshimu wanadamu wengine na sii zaidi. Kuwa Kiongozi hakumpi mtu, thamani au Ubora juu ya wanadamu wengine ni fursa anayotakiwa aipokee kwa kutetemeka na sio kujiona Mungu. Narudia tena Mh Magufuli ni Kiumbe kama Viumbe wengine na Siwezi kumwogopa au Kumwabudu. Mimi sihofu Polisi wa Niliko au Interpol kwa Kuwa Sijavunja sheria, Ila Niko Makini na Wanafiki kama Waliomfuata Kadegeya wa Rwanda na Kumuulia Hotelini South Africa. Kwa Hilo Niko fiti, Majirani zangu ni Maredneck, Nje ya Nyumba yangu Kuna Eneo Sensitive Kuna Sheriff officer 24/7 Mimi mwenyewe pamoja na Majirani zangu hatuitagi 911 Akija Mhalifu, well niseme wanapiga 911 baada ya jamaa kuwa historia. Kuna Mkuu mmoja wa Mkoa kachokonoa facebook yangu, akitaka kujiingiza kama Rafiki, Nimefuta Ombi lake, ila akijaribu tena Nitamriport FBI.
Aisee!
 
Hizo hela za kufanyia maandamano ,nawashauri chagadema wajenge ofisi yenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani nchini.

Hii tabia ya kuandamanisha watoto wa wenzenu na kuwashindisha juani ikome Mara moja. @ Nyumbu
 
Wewe ndo unaumia kwani inaonekana hutaki kufahamu ukweli, na ndio maana unafikiri ya kuwa wapiga kura ni watu ambao wako disconnected na social world, jaribu kuelewa ni kitu gani mhusika anasema hapa, lakini pia nakulinganisha na mwalimu ambaye ametunga mtihani harafu yeye mwenyewe akawa mwanafunzi, kwa maana nyingine ni kwamba hauko tayari kuelewa ila unaamini kile ambacho unafikiri, kwa hiyo hata ukiambiwana magufuli ya kuwa utembee uchi upo tayari. Dont be stupid kaka, be objective when discussing realities
 
Ili kuweza kubeba mizigo ya watangulizi wake ambao wameharibu nchi kisawa sawa! Lazima anyamazishe wanasiasa wote ili wananchi waendelee kuwa wajinga! Ameamua kufukia ufisadi woote wote na kubeba yeye! Hakuna mtu akapelekwa kwenye hiyo mahakama majaji watabakia....wamekaa tu labda wapewe kesi za kawaida sasa maana haina maana!!!!
 
Back
Top Bottom