Nimetishwa na Kauli ya Magufuli, Kauli Iliyotanguliwa na Udictator wa Ajabu wa Kutumia Polisi.

Hizo hela za kufanyia maandamano ,nawashauri chagadema wajenge ofisi yenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani nchini.

Hii tabia ya kuandamanisha watoto wa wenzenu na kuwashindisha juani ikome Mara moja. @ Nyumbu
Yaani CCM watu na Vijana wanaohudhuria mikutano na maandamano ya Upinzani, Mnawatukana Kiasi hiki kuwa "wanaandamishwa" kwani kwenu mnaona ni Vizuu na Misukule na hawana akili wala Utshi. Na Mbaya zaidi Mnawaita Watoto. Dharau iliyoje? Kauli ya Ajabu sana, Kutoka kwa Chama waliojaribu kutumia Polisi Kuwazuia Wananchi/wafanyakazi Uwanja wa Taifa ili wamsikilize Makonda, Pia wanaofunga shule za msingi na sekondari na kuwaswaga watoto wahudhurie mikutano yao ili kuijazia. Nakushauri unipe video ya Chadema yenye watoto wakiandamana, ukishidwa hizo propaganda zako za UNape kajichomekee kule kusikosemeka.
GZ4.jpg

2.jpg

JK+KAMPENI+003.jpg

8.jpg

Ninyi Wanafiki mngeweza kwenye mikutano yenu mngeweza kuleta vitoto ambavyo bado vinanyonya, mbwa, kuku na paka. Hata kampeni zenu Mkiacha mliowasomba kwa Malori, Wengi walikuja Kusikiliza wanamuziki ambao wengi hamjawalipa. Ndio Maana Mkaanyang'anya Computer na Kupora Ushindi, Ukiacha Mamilioni ya Kura Mlizozisupress..
 
Nendeni mkafanye maandamano wilaya ya Hai ,hakuna polisi atayewapiga.
 
Ili kuweza kubeba mizigo ya watangulizi wake ambao wameharibu nchi kisawa sawa! Lazima anyamazishe wanasiasa wote ili wananchi waendelee kuwa wajinga! Ameamua kufukia ufisadi woote wote na kubeba yeye! Hakuna mtu akapelekwa kwenye hiyo mahakama majaji watabakia....wamekaa tu labda wapewe kesi za kawaida sasa maana haina maana!!!!
Kasema atamlinda Kikwete na Mkapa, Hivi Unafikiri Mafisadi wa Escrow watakaa washitakiwe? Si watamtaja Aliyechukua Mkwanja Mkubwa Kuliko wote? Mbona Benki ya Mkombozi na Stanbic zilizofanya Money laundry ya Fedha za Escrow Hazijachukuliwa hatua. Mbona aliyejipatia $75,000,000 kwa Mtaji hewa hajafanywa lolote?
 
Nendeni mkafanye maandamano wilaya ya Hai ,hakuna polisi atayewapiga.
Unataka Kusema Wewe Umeigawa Tanzania Kuwa ni ya CCM na Hai ndiyo ya Chadema? au Unataka Kusema Mh. Magufuli naye Akaropokee Chato na hakuna wa Kumkosoa?
 
Kasema atamlinda Kikwete na Mkapa, Hivi Unafikiri Mafisadi wa Escrow watakaa washitakiwe? Si watamtaja Aliyechukua Mkwanja Mkubwa Kuliko wote? Mbona Benki ya Mkombozi na Stanbic zilizofanya Money laundry ya Fedha za Escrow Hazijachukuliwa hatua. Mbona aliyejipatia $75,000,000 kwa Mtaji hewa hajafanywa lolote?
Mkapa na Kikwete tayari wana kinga kwa mujibu wa katiba yetu. Labda wewe ni taahira wa katiba yetu ndio maana unadhani Rais kutamka kuwa atawalinda ni tamko lake binafsi. Hiyo ni kwa mujibu wa katiba
 
Unataka Kusema Wewe Umeigawa Tanzania Kuwa ni ya CCM na Hai ndiyo ya Chadema? au Unataka Kusema Mh. Magufuli naye Akaropokee Chato na hakuna wa Kumkosoa?
Hakuna mahala Rais karopoka. Rais wetu yupo wazi sana labda mlizoea kuongozwa na watu wanaoficha maneno. Mkapa naye alikuwa vivyo hivyo na ndio maana mkaitwa Malofa na wapumbavu. Hakukuwa na majina mengine ya kuwaita zaidi ya hayo
 
Kasema atamlinda Kikwete na Mkapa, Hivi Unafikiri Mafisadi wa Escrow watakaa washitakiwe? Si watamtaja Aliyechukua Mkwanja Mkubwa Kuliko wote? Mbona Benki ya Mkombozi na Stanbic zilizofanya Money laundry ya Fedha za Escrow Hazijachukuliwa hatua. Mbona aliyejipatia $75,000,000 kwa Mtaji hewa hajafanywa lolote?
Ni kwa mujibu wa katiba we nyumbu.
 
Ni kwa mujibu wa katiba we nyumbu.
Ndio Maana Wakina Ulimwengu, wanataka Ibadilishwe ili Fisadi wa Mafisadi naye aonje Pingu kidogo, Kama Marehemu Fredrick Chiluba na Charles Tailor. Wala Usijali Kama mtu hana hatia hatafungwa, hakuna aliyekinyume na Sheria sio Mkuu, Kwani wewe hapo Unaona Ubaya Gani?
 
Na bado lazima serikali iwashikishe adabu maana mlizoe kuwa wazembe wanafiki, sasa huu ndiyo mwisho wenu, mnatakiwa muendane na mazingira maana ndiyo matakwa ya watanzania
 
Ulimwengu ndio mdudu gani?
Mmojawapo ya Wananchi, Wale Mnaowaita Wapumbavu, Mojawapo ya Wale Mliowaibia Utawala kwa Kunyang,anya Computer Kila kona Kufuta Ushahidi. Mojawapo wa wale Uliowaibia kwa Kuwalipisha Umeme wa bei ya juu ili kufanikisha mtaji hewa kufikia $ 75,000,000 Kisha Mkazigawana kwa Mabilioni ya shilingi, Kwa Waya na Nyingine Keshi, Kwa sandarusi, Rumbesa, Mabox na Mifuko ya Rambo. Na Huyu Ulimwengu anasema ashitakiwe akahaha kila mahali akisema Blah blah zake akidai Escow zilikuwa ni fedha za Binafsi. Nitajiwe Tu jamaa aliyetumika Kuvuna $ Mil 75 Mtaji wake IPTL ulikuwa ni nini? Na by the wa IPTL hadi leo wanaalipwa nafikiri $ 4 mil kwa Mwezi.

Nachomeka hii Picha Tu ya Aliyekuwa na Mtaji Hewa Uliozaa $ 75,000,000 (Nasema Hewa kwani Mtaji wa Rwegamalira kama Ulifikia hata Tsh 100,000,000 sawa na Dola $ 50,000 Mnionyeshe)

unnamed%2B(7).jpg
 
Back
Top Bottom