kwanini tu
Member
- Nov 8, 2011
- 50
- 63
pamoja na kutapeliwa hela zangu humu, kuna mdada nimebahatika kuongea nae humu kanikubali na nitamuoa tu
huu mwaka hauishi mtajiju wenye wivu jinyongeni
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Sasa wewe umejiunga hata mwezi tu haujaisha umeshasema kuna watu wamekutapeli!! Mbona unaonekana mgeni humu!!! Haya bana hongera.
Hahaha.ndiye aliyekulipia deni
"naomba mkuu unirudishie hela yangu nadaiwa jamani". hahahaaa...!! mkuu alikurudishia? hongera zako kwa kupata kimwana. mimi kantema inabidi nianze kutest zali tena. Mia