klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
hehehe sawa mkuu, mimi nikiingia kule navaa sunglass bule bule ili kupunguza makali.Tayari nilishaingia ingawa huwa siangalii!!
Yaani greti thinka katimiza mwezi mzima bana, si mchezo.khah! Unamaanisha kavunja sinia??
Yaani greti thinka katimiza mwezi mzima bana, si mchezo.
Halaf na hizo sinia zako subili uje ulambwe ban na PAW.
Dah! nimekumbuka felo tablet alinistua, halaf alikuambia kuwa kizuri anakula na nduguye?yamekuwa hayo tena?
Unanitishia nyau
ujue mahusiano yangu na tablet mwingine??
Akikusikia lazima akugombeze.
Dah! nimekumbuka felo tablet alinistua, halaf alikuambia kuwa kizuri anakula na nduguye?
Asante cantalisia mwana wa Gustavo
Amevunja katiba ya famasi, acha niitishe kikao cha zarura.alinikataza nduguze wachungu
akaniruhusu asporo na mebendazole tu