mkuu wala hata siyo kuomba,mnazoea tu kwenye comments,baadaye pm,kupeana namba ndo tayari urafiki huo.
ila jihadhari na marafiki wa humu pia hizi id fake noma
Ahaa kwenye ku comments anae ku quote unamlukia pm au?
Maana kama ww mwisho nilikuona jukwaa la liver ndo leo tena
Hembo niongeze kidogo au kama haipendezi waeza tupa pm huo ujanja
mkuu labda we unakesha jukwaa la sport,mi mmu nipo,celebrity nipo,photos nipo,hoja mchanganyiko nipo,karibia kila jukwaa labda tunapishana tu
unajidanganya
kumbe una tabia nzuri King'asti,hongera
waliowahi kupata ban ndo wanatabia mbaya,?
Mkuu picha yangu ya harusi hii nabadilishaje?
Itoe tu maana tayar ili utupunguzie uwoga
Hapana aisee sibadilishi
Shauriyako utakapotamani mchepuko utakimbiwa