Nimetibiwa na daktari Mlevi

Nimetibiwa na daktari Mlevi

Joined
Jul 8, 2013
Posts
96
Reaction score
63
Wakuu amani iwe nanyi....
Namshukuru MUNGU hali yangu sio mbaya japo nilikuwa naumwa tangu Jana...kutokana na hali yangu ilivyokuwa Leo niliamua kitembelea hospital fulan hapa Morogoro mjini ili niweze kirekebisha afya yangu..kilichonishangaza ni kumkuta dactari muhusika kwenye chumba jicho jekunduu na ananuka pombe...sikuwa na jinsi kwa sababu nilikuwa kwenye foleni takriban masaa matano nkisubiri kumuona huyu mtu...alinihudumia na akaniandikia dawa japo sikuridhika na dawa alizoniandikia sijanunua...natarajia kesho niende hospital nyingine nikarudie kufanyiwa huduma..
hii sio Mara ya kwanza kukutana na dactar kama huyu.na ninahisi wapo wengi tena sana....kuna misemo huwa naisikia kuwa madaktar wengine bila pombe hawawezi kufanya kazi sijujua kuna ukwel kiasi gain but nahisi hii ni hatari sana kwa afya za wagojwa...
SWALI: nikikutana na mtu mama huyu nichikue hatua gani ili aweze kuchukuliwa hatua zinazostahili?
 
Back
Top Bottom