Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nmependa comment yako psychologically itakua best of the best punishment,,,,

Zaidi usigusie ama kwa mazungumzo au kwa vitendo hicho alichokifanya....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakushauri kiume kama nimechukua hali yako ilivyo,mm siwez kupenda mwanamke alienisaliti,siwez kuendelea na mtu wa namna hyo,siwez na sitak kua na mke alienisaliti,ni doa lisilofutika ktk akil ila unaweza kusamehe ila usiweze kusahau,hata ukiacha na ukaoa mwngine bado kidonda kitakuwepo. na hata ukiacha una haki kbsa sabab yy ndio atakua ametafuta sababu.

Kuna meng yanachangia ktk kusalitiana ila hukumu kwa haki kama ww hujamsaliti,najua unaumia sana tena sana,na una hasira maana mpka umempiga kwel una hasira ila kupiga hakusaidii,kupiga hakufanyi kufuta alivyogegedwa lah ila kuna ounguza hasira na kua ha madhara.

So umejua kwel kakusaliti chukua simu yako mbane mpka aseme kwel,aseme kwel katembea nae,tumia mbinu unayoijua ww maana siwez kukushaur mbinu ambayo ningetumia mm,ukitaka kujua ningetumiaje mbinu zng karb pm,nitakuelekeza na atasema na atakaposema we rekord kila kitu bila kutoa maneno mabaya ili ushahid ufanikiwe zaid,halaf akishakiri ita ndugu jamaa na wazaz mwache mbele yao. Vunja ndoa hyo,maana km aliweza kugegedwa baada ya kukiri unadhan wamepanga kugegedena mara ngap?mungu alifanya njia ya simu yake akupe ili uone ubov wa mke wako na ukaona ss ni juu yako,kuamua, endelea kuishi na mke aliekusaliti na umejua na yy anajua na aliemkaza anajua kwamba umejua kakukazia mkeo halaf anacheka aisee hakuna dharau km hyo. Ishi kwa kuamua,pole sana hata hvyo,
 
Msamehe mkeo, hayo ni makosa ya kawaida yanatokea. Jiulize je wewe umewahi kumsaliti, umewahi kutoka nje ya ndoa yenu? kama jibu litakuwa ndiyo usijaribu kumtupia mawe. Isipokuwa mweleze na kumwonyesha kuwa hukufurahia na hukupenda kabisa alichokufanyia na umsihi asirudie. muendelee na maisha. Kumbuka unaweza kumwacha huyu ukaangukia paliposhindikana
Mawazo kama haya ya kihayawani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaza Moyo Mkuu.Mwombe Mungu akupe Hekima kufanya Maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeupenda sana ushauri wako. Unaweza jikuta umeua. Muombe sana Mungu. Na pia kama hutojali nenda mkapime kwanza. Halafu kaa chini ufikirie. Unaweza pia kumrudisha nyumbani wakati ukitafakari ni nini hatua ya kufanya. Ingawa sishauri kurudiana nae maana bado ni wachanga ktk ndoa. Puuzia wanaokwambia kuwa 5years alikuwa mwaminifu why amegeuka sasa hivi. Hao ni jamii hiyohiyo. Mlee vizuri mtoto wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msamehe mkeo maisha yaendelee,
wala usikumbushie tena kilichotokea nyuma
mpende kama ndo mnaanza ,timiza wajibu wako
tena kama baba wa familia ,jitahidi usimkosee ,wahi kurudi nyumbani etc fanya kama hakijatokea kitu mkuu,HUO NDIO UANAMUME,
HIVYO TU
Mnaongea tu nyie eti kusamehe. Unaweza kaa na huyo mwanamke mboo isisimame. Labda kama huo ushauri umetoka kwa mwanamke anaesubiri kuingiziwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ushauri wangu ni huu
Ukitaka heshima irudi kwa
Kasi ya mwendo kasi
Ukiwa unamla Ku..ma
Hama mtandao nenda tigo
Mpakue kisamvu wiki nzima
Nakwambia hawezi kamwe kurudi kwa mume mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kunisaidia kujijua kua mm ni bwege. Tuje kwenye point, mwanamke yeye hana moyo wa kuumia hadi aonekane mvumilivu akikosewa dume anapozini? Hapana, na wanawake wanaumia, wasihukumiwe eti mwanamke si sawa na mwanaume, jipe muda uwe unasoma vitabu aisee
Nionyeshe sehemu mwanamke mwenye waume wawili kisheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri umsamehe isipokuwa usimruhusu kumiliki simu itamwea vigumu kufanya apointment kwa kutumia simu ya jirani

Kwa sababu akifanya hivyo atamletea kesi jirani yake kwa mumewe kama atapiga simu wakati mumewe akiwepo au kama ataifumania mamba hiyo

Na hataweza kutoka huko aliko na kumletea simu mkeo ili aongee na yule bwana wake na wewe ukiwepo kwa hiyo atakuwa amemiss target na kumletea usumbufu

Maana Yake atakuwa hapatikani kwa wakati jamaa anapomhitaji hivyo itampelekea kukata tamaa na kumwacha mkeo

Kama jamaa atakuwa mshenzi basi ataanzisha mapenzi mapya kwa huyo mwenye mawasiliano ya muda wote yaani shoga wa mkeo wewe litakuwa limekuepuka mkuu hivyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie aende kwa huyo mwanamme aliyempa penzi kwa sababu kaona hatosheki kwako wala usiumize kichwa
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe in mvulana bado
Sisi wanaume huwa hatuombagi ushauri kwenye issue kama hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom