Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Demi
Nioneshe mke aliyeolewa Na mume zaidi ya mmoja Tanzania lawful

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria zote dunia hii zimeanzishwa na mwanaume na nyingi ni kumkandamiza mwanamke. Ni kweli hakuna sheria ya waume wengi, ila mume anaweza akawa na mke zaidi ya mmoja na kisheria inaruhusiwa. Basi nawashauri mnapooa pale kwenye kuchagua mke mmoja tu mbadilishe mchague "huenda ikawa ya wake wengi".
Mnavyojicommit mke mmoja halafu michepuko haiishi mna maana gani?
Wekeni tu sheria za kutukandamiza lakini mtambue kuwa hata sisi ni binadamu na tunawavumilia mengi, michepuko yenu tunasamehe kila kukicha. Leo mke wa jamaa kateleza mara moja mnshauri amuache, huko aendako ndo hakuna matatizo?
Amuache endapo tu mke ameboboa kwenye uzizi. Ila kwa situation yake bado ana muda wa kusamehe kama bado anampenda mke wake. Ni vigumu lkn divorce ina madhara makubwa sana kwa mtoto.
 
Mwanamke usimpe simu ni sawa na kumpa mtoto achezee sumu itamwuua harafu lawama kwako!!

Mimi mke wangu nilisha mmyan ganya simu toka April baada ya kumtrack na kumnasa akifanya mipango ya kuchapana Siku ya pasaka na kumpa kipondo cha mbwa mwizi

Na kumtengenezea baraza kwao mbele ya mama yake kaka zake na kuwapa SMS zake zote alizokuwa akitumiana na yule jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Track hilo shikaji, wanaume tukizungumza tunaelewana.
 
Kwa bahati mbaya sana kuachana na huyo mwanaume itategemea maamuzi ya huyo anayekut.ombea mkeo si vinginevyo. Yaani hawa wanawake baana ni pasua kichwa sana. Kaa na wazazi waeleze pamoja na kuwaonesha ushahidi ulio nao labda inaweza ikasaidia japo kidogo, lakini ukweli utabakia hivo tu
Hahahah kwa hiyo akaonyeshe wazazi ushahidi wa nusu uchi!
 
...Leo mke wa jamaa kateleza mara moja mnshauri amuache, huko aendako ndo hakuna matatizo...

Hakuna uhakika kama kateleza mara moja tu. The fact kwamba kila msg ikiingia/au akituma yeye anadelete fasta inaonyesha ni kicheche mzoefu. Pia, kwa maelezo ya jamaa, alimuonya aache kuchat na kutongozwa ila cha ajabu kesho yake tu akaenda kugawa kyuma. Aisee, hii dharau na fedheha haivumiliki hata kidogo
 
Dunia imebadilika,siku hizi wake za watu kuliwa ni kwaida sana mkuu hata mimi huwa nawadownload hapahapa JF na kuwala!.....sijui hata unashangaa kitu gani!!
 
Sheria zote dunia hii zimeanzishwa na mwanaume na nyingi ni kumkandamiza mwanamke. Ni kweli hakuna sheria ya waume wengi, ila mume anaweza akawa na mke zaidi ya mmoja na kisheria inaruhusiwa. Basi nawashauri mnapooa pale kwenye kuchagua mke mmoja tu mbadilishe mchague "huenda ikawa ya wake wengi".
Mnavyojicommit mke mmoja halafu michepuko haiishi mna maana gani?
Wekeni tu sheria za kutukandamiza lakini mtambue kuwa hata sisi ni binadamu na tunawavumilia mengi, michepuko yenu tunasamehe kila kukicha. Leo mke wa jamaa kateleza mara moja mnshauri amuache, huko aendako ndo hakuna matatizo?
Amuache endapo tu mke ameboboa kwenye uzizi. Ila kwa situation yake bado ana muda wa kusamehe kama bado anampenda mke wake. Ni vigumu lkn divorce ina madhara makubwa sana kwa mtoto.
Kwa hiyo unapingana msahafu uliosema hadi wake Wa NNE?
Je Mungu aliposema mke hafai kuwa kuhani alikua mbaguzi?
Ibrahim isaka Na yakobo walikuwa polygamy Na huitwa marafiki Wa Mungu,unamkosoa Mungu?
Mfalme Daud alioa wake wangapi?
Mtume je
Mambo yenu ya kudai usawa wakati
Mnakojoo mmechuchumaa umewaharibu akili Na kuvunja ndoa nyingi
Isitoshe Ku..ma ikipigwa nje inatanuka mbo..iko palepale


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna uhakika kama kateleza mara moja tu. The fact kwamba kila msg ikiingia/au akituma yeye anadelete fasta inaonyesha ni kicheche mzoefu. Pia, kwa maelezo ya jamaa, alimuonya aache kuchat na kutongozwa ila cha ajabu kesho yake tu akaenda kugawa kyuma. Aisee, hii dharau na fedheha haivumiliki hata kidogo
Hayaa. Mi namuachia jamaa zigo lake. Ila kwa jina la Yesu hii ndoa haivunjiki, mnaotaka ivunjike mshindwe popote mlipo!
.
.
Sichangii tena!
 
Wanaume bana! Mnachekesha sometimes...
Kama hujawahi kuchepuka na hutegemei kuja kuchepuka muache mkeo. Kama umewahi chepuka msamehe mkeo maisha yaendelee mlee watoto. Watu wanakushauri umuache lakini madhara utapata wewe binafsi na utawatesa watoto na ipo siku utakuja kujuta kwa kosa ulilofanya.
Samehe mkeo, muweke chini mzungumze tatizo ni nini. Asipo badilika hapo ndo unaweza kumuacha. Kosa moja halimuachi mke/mume.
We sikiliza tu ushauri wa vijana tena wengine hata hawajaoa, utajuta wewe peke yako.
huyo ni mke sio dem hilo ujue
mm madem zangu wachepuke tu wanavotaka kwasababu hakuna hata mmoja nnaemwamin ndo mana sipigi peku

ila mke maanake umeamua kuacha ujinga wote ili uwe nae then unachepuka hahaha

kwanza kwakua kuua ni kifungo cha maisha nahakikisha yule mwanaume namuachia kilema aje kuwaadithia ndugu zake

na ndoa inavunjika hapo hapo kwa kipondo cha hali ya juu kwake

kwenye makosa ambayo sitokuja kumsamehe mke wangu ni kuchepuka



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unapingana msahafu uliosema hadi wake Wa NNE?
Je Mungu aliposema mke hafai kuwa kuhani alikua mbaguzi?
Ibrahim isaka Na yakobo walikuwa polygamy Na huitwa marafiki Wa Mungu,unamkosoa Mungu?
Mfalme Daud alioa wake wangapi?
Mtume je
Mambo yenu ya kudai usawa wakati
Mnakojoo mmechuchumaa umewaharibu akili Na kuvunja ndoa nyingi
Isitoshe Ku..ma ikipigwa nje inatanuka mbo..iko palepale


Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayoyaamini kwenye biblia ni yale aliyoyasema Mungu na Yesu peke yake. Hao wengine sijui matayo, warumi na vitabu vingine sio vyote ambavyo ni sahihi.
Kwani kukojoa ukiwa umechuchumaa ni adhabu?
 
huyo ni mke sio dem hilo ujue
mm madem zangu wachepuke tu wanavotaka kwasababu hakuna hata mmoja nnaemwamin ndo mana sipigi peku

ila mke maanake umeamua kuacha ujinga wote ili uwe nae then unachepuka hahaha

kwanza kwakua kuua ni kifungo cha maisha nahakikisha yule mwanaume namuachia kilema aje kuwaadithia ndugu zake

na ndoa inavunjika hapo hapo kwa kipondo cha hali ya juu kwake

kwenye makosa ambayo sitokuja kumsamehe mke wangu ni kuchepuka



Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unapingana na biblia (kama unaiamini) kuwa tunapaswa kusamehe?
 
Pole sana mkuu, kama unaweza kuvumilia zaidi msamehe wife ila zitunze sana picha zako ktk vifaa tofautitofauti ili zisipotee zitakusaidia sana kwanza kumuumiza kila wakati na pia unaweza zitumia kama ushahidi baadae, zitunze na ajue unazitunza pamoja na chat zake.
Kama ulishampa kipigo safi ni muda wa kumuumiza kisaikolijia, no sex, na mahusiano mazuri, no kula msosi wake, no kumcare kwa vyovyote, mchukulie kama dada wa kazi ili dhambi yake imtafune nje ndani mpaka aondoke mwenyewe au aite watu mwenyewe na awatangazie alichofanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu ya hii thread yameni frustrate sana. Watu wengi kwenye ndoa wanaona kuchepuka ni jambo la kawaida. DAH. Hivi kweli kwa akili hizi ukimwi na ma STD yataacha kuangamiza familia zetu jamani. Nadhani bado sijaelewa maana ya ndoa hadi sasa.
wanaotetea wote ni watu wenye michepuko wanajarbu kutuaminisha kuchepuka ni kosa kama mengne akat kuna magonjwa ya kila aina siku hz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unapingana na biblia (kama unaiamini) kuwa tunapaswa kusamehe?
mungu mwenyewe kuna vitu asameh wala na waliwa tigo hio haina mjadala

ndo na mm itakavokua kwenye maisha yangu ya ndoa ukichepuka haitakua na mjadala
usipokua na msimamo utateseka sana dunian


Sent using Jamii Forums mobile app
 
..nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Pole sana kamanda. Sipati picha hayo maumivu ya kugongewa wife, huku mwenyewe akifurahia ile hali na akituma picha za uchi like a common prostitute out there.

Ushauri utapewa ila mwisho wa siku utatoa maamuzi mwenyewe. Sasa umekuwa mtumwa wa kuchungulia whatsapp messages zake ili ujue kama anaendelea au vipi. Utakufa kwa pressure kaka kama sio ngoma. All in all, uje utupe mrejesho wa maamuzi kama hutomind ili watu wajifunze kupitia somo hili.

PS: Ingekuwa ni mimi nimemkamata wife anachat, nikamuonya "yakaisha" harafu kesho yake tu akaenda kuvua chupi kwa raha zake, wala nisingehitaji kuja huku kuomba ushauri wa wadau.
 
Back
Top Bottom