NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

Wewe upo au haupo ? Twende kielimu na tafakari za ndani ?

Mimi sina Guarentee wala wewe, sababu imeandikwa vitabuni ya kuwa Wastani ya umri wa kuishi wa watu wa umma huu ni miaka 70. Huu utaratibu ushapangwa na Mola muumba.
Kwanza lazima ujue wewe ni nani? Iliujue anaeishi ni nini wewe au mwili wako? Self realization is most important before exploring God. Know your true self. By nature body is just food u eat every day. You posses it. Life is your true id its is everasting and forever. Vitabu vimeandikwa na binadamu kama mimi na wewe tafuta msono ya rohoni sio somulizi ya vitabu.
 
Nilivyo ona tu kichwa cha mada yako nikajua kabisa huwezi kuthibitisha ulicho kiandika.

Yaani ni ujinga ulioje useme wewe haupo wakati upo.
Hata mimi nimeshangaa eti anasema hayupo lakini ana nguvu ya kuandika huu uzi.
 
Nikikwambia una matatizo ya akili bila shaka nakupa stahiki yako. Inaonekana hata maana ya nafsi huijui, nafsi ni wewe hasa, na maana ya uongo ni kinyume na hali halisi, yaani Uongo ni kitu kisicho halisi. Wewe una nafsi moja iliyopitia hatua kadhaa, yaani muda. Ndiyo maana wewe ulikuwa mtoto na umezeeka ila ni wewe, na kama ungekuwa si halisi na ni uongo, basi hata ulipo kuwa mtoto haukuwa wa kweli, na hili halipo.
Tafuta defination ya Truth. Au KWELI. Itakuangaisha at start but utanielewa tuu.
 
Kwanza lazima ujue wewe ni nani? Iliujue anaeishi ni nini wewe au mwili wako? Self realization is most important before exploring God. Know your true self. By nature body is just food u eat every day. You posses it. Life is your true id its is everasting and forever. Vitabu vimeandikwa na binadamu kama mimi na wewe tafuta msono ya rohoni sio somulizi ya vitabu.
Jibu swali nililo kuuliza, wewe upo au haupo ?
 
Tafuta defination ya Truth. Au KWELI. Itakuangaisha at start but utanielewa tuu.
Ukweli ni kauli au kitendo kinapo afikiana na hali halisi.

Umeandika mambo ambayo hata maana yake huyajui, na hili ni tatizo lingine linalo kufanya usiepukane na makosa.
 
Nikikwambia una matatizo ya akili bila shaka nakupa stahiki yako. Inaonekana hata maana ya nafsi huijui, nafsi ni wewe hasa, na maana ya uongo ni kinyume na hali halisi, yaani Uongo ni kitu kisicho halisi. Wewe una nafsi moja iliyopitia hatua kadhaa, yaani muda. Ndiyo maana wewe ulikuwa mtoto na umezeeka ila ni wewe, na kama ungekuwa si halisi na ni uongo, basi hata ulipo kuwa mtoto haukuwa wa kweli, na hili halipo.
Think again.
 
Ukweli ni kauli au kitendo kinapo afikiana na hali halisi.

Umeandika mambo ambayo hata maana yake huyajui, na hili ni tatizo lingine linalo kufanya usiepukane na makosa.
Ukweli ni unchanging factor. Ilikuwa hivyo, ipo hivyo na itakuwa hivyo milele daima. Kweli ni Roho yako sio Mwili wako. Au bado tunabishana. Niliyoyaandika nayajua sana. Endelea kuniuliza tuu
 
Sasa nani alikwambia hali halisi inabadilika ? Sasa inakuwaje unarudia rudia nilichokiandika na kumaanisha.

Ulichokiandika hukijui ndiyo maana maana ya kuwa hali halisi ndiyo ukweli wenyewe, na wewe ndiyo hali halisi kuanzia utoto wako utakapo kufa.
 
Nimegundua una wivu. Wivu kuwa unajua kuriko mtu mngine yeyote. EGO, ANGER,GREED, ATTACHMENT AND LUST will eat you always. Pole sana.
 
Sahihi ni "Kuliko" na si "Kuriko".

Kwahiyo unapo kosolewa unaonewa wivu ? Kama hali iko hivyo acha niwe na wivu,bali hivi ndivyo nilivyo mimi.

Ukiwa na hoja za kielimu nistue, ila sito huu uzwa zwa unao uandika ambao tukikuomba ushahidi na ithibati huwezi kutupa mpaka unakufa.
 
Kama ndivyo hivyo mbona umeshindwa kung'amua ya kuwa ni uwezo upi ?

Kijana unachekesha sana.
By the way mimi sio kijana i am old. I have been into self discovery path for 40 yrs, since i was 20. I have meditating in light and sound and got my God realization. WHAT EVER I TELL WHEATHER YOU LIKE OR NOT IT IS THE PROVEN TRUTH.
 
Sahihi ni "Kuliko" na si "Kuriko".

Kwahiyo unapo kosolewa unaonewa wivu ? Kama hali iko hivyo acha niwe na wivu,bali hivi ndivyo nilivyo mimi.

Ukiwa na hoja za kielimu nistue, ila sito huu uzwa zwa unao uandika ambao tukikuomba ushahidi na ithibati huwezi kutupa mpaka unakufa.
Spelling mistakes or grammar sio big issue kama msg imefika.
 
By the way mimi sio kijana i am old. I have been into self discovery path for 40 yrs, since i was 20. I have meditating in light and sound and got my God realization. WHAT EVER I TELL WHEATHER YOU LIKE OR NOT IT IS THE PROVEN TRUTH.
Sasa nakwambia mpaka unakufa huwezi kuthibitisha hilo.

Kama wewe ni mtu mzima basi unazeeka vibaya mzee.
 
Back
Top Bottom