Nimetembea na shemeji yangu

JF nadhani jukwaa sasa linakua la kitoto la kupotezea muda
 
We unari gari halafu shoping yako ni mlimani city
 
Wanaume wa dar hiki ndo kipimo cha akili na tabia zenu?,sisi huku vijijini hatuna muda wa kupoteza kufanya ujinga huu wala kuuongelea,maana tuna majukumu kibao kulea familia kulima nk,tofauti na huo ujinga wa kubwa zima linakaa nyumbani kwa wazazi, au kwa ndugu bila kazi matokea linaanza kutamani shemeji zake,hebu muonyeni mwenzenu anawaaibisha,
 

....Nzuri saaana, na ulifanya vema kutumia URIJALI wAKO; haaa ngumu saana kuzuia Hisia,
 
Kwa mmwendo huu ukimwi utaendelea kuangamiza familia nzima.
 

Huna hatia hapo kwani hata mimi nimetembea na shemeji yangu toka kariakoo mpaka posta na tukanunua na maji ya kunywa njiani,HahahahaaaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Naomba namba yake nikuepushe na hilo janga linalokusuta ,ni mweupe?Nyuma amefungashia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…