Amanda Lynn
Member
- May 18, 2015
- 77
- 54
Siku 'binti mkubwa' akijua atamkimbia mshkaji. Ye apige tu hao wawili, kwa bi mkubwa aamue kuwa ni historia,, za mwizi 40.
Asipige wawili, aangalie vigezo vyake achague mmoja. Ila stori yake kaiandika vizuri na hayo maneno yaliyotumika humo,,,duuhh,,noma sana
Kwanza, jiandae na laana kutoka kwa mwenyezi. Pili, huyo mbaba kabla hajajua inabidi uhame mtaa kwa usalama wako.
Nice story, labda hadithi yako inatufundisha nn
We hujatulia pia hujajua unachokitaka. Naamini huyo mpenzi wako Mwanza atakua anafanya hayohayo unayoyafanya.
Umejifunza nn kutokana na huu mkasa wangu?
Nimetulia na sina papara, sikuwa na mpango wa kutoka na 'bi mkubwa', mazingira ndo yalipelekea. Mpenzi wangu wa Mwanza hana mambo mengi, mi ndiye niliezidiwa
Hamna kitu kama kuzidiwa, huyo mpenzi wako wa Mwanza akizidiwa haf akachepuka utamlaumu? Itakuwa hukuwa na mapenzi na yeye ndo maana
Haha nimejifunza ww ni mzinzi hufai
sijui mnawazaga nini
hii story kama nimeiona kwenye magazeti pendwa.hvi mwanaume gan mzembe anayeweza kumruhusu mkewe awe anatoa penz kwa mwanaume mwingine.alafu ata lugha unayotumia ni ya kiuni uni sidhani kama hii ni story ya kweli mkuu.
nakuuliza hivi kwa ndevu zetu zoote hizi unaamua utudanganye ?
huo uandishi wako tu unaonekana hufai hata kwa nyongeza
nakuuliza hivi kwa ndevu zetu zoote hizi unaamua utudanganye ?