Nimetembea na mama na binti yake


Mkuu we upo kwenye kundi gani?
 
Hapa tunatumia avatar, fake names ili kuzuia vitu kama hivyo visitokee

Hahahahaaa hujamsoma jamaa anamaanisha kama wewe ndio mume unafanyiwa hivyo ungejisikiaje?.....akamalizia.....what goes around comes around
 
amua wapi unataka ukae. ifike umri ujue unataka nini, muamuzi wa mwisho ni wewe unayafanya
 
Bado hujapenda, Mwili wako bado unawaka tamaa, Angalia unachopenda! Cheap is Expensive!

Ukiona upo ktk uhusiano, na bado unatengeneza uhusiano na mwanamke mwingine mpaka unamlinganisha na Mtu wako wa muda mrefu, basi hukumpenda, tulia ukipenda hutahitaji ushauri, utaleta kadi
 
Kunywa ile dawa ya kimasai ili uongeze nguvu. Hivi OLESAIDIMU ile inaitwa kiloriti ama?

King'asti amesema alimpiga mama 10 na mtoto 6 bado unataka aongeze nguvu si atawaua sasa kwa kupiga 20 na mtoto 12 ha ha hawa vijana na story zao za vijiweni wanaleta JF
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…