Mteule halisi
Senior Member
- Oct 21, 2014
- 197
- 98
Nashangaa vijana mnavyokuwa sperm donors kirahisi hivyo na baadae damu zenu mnazitelekeza msipopajua.
Bado hujajua thamani ya mtoto/damu yako wewe, utachepuka mara ngap na kujaza wengine mimba?
Huyo mtoto atarudi kwako tu, utake usitake tena inawezekana ikawa sooner than you expected. Andaa maelezo ya kunyoosha kwa mke wako mapema.
Kabla hujaoa...mweleze huyo mchumba wako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Muoe huyo mchepuko..inaonekana ni bora kuliko mke wako mtarajiwa
haha nimeupenda huo mchepuko
Pole sana
Haaaa haaaaa pole
Nishapoa ila niko njia panda
Kanizidi umri na haja kizi vigezo vya kua wife
ila akasema kwakua kaamua yeye basi garama za kuitunza adi kulea ni juu yake labda mimi niamue tu kumsaidia