Nimetegeshewa mimba bila kujijua

Nimetegeshewa mimba bila kujijua

Ujue shida iliyopo kwa nyie akina dada mkishaona kua mtu kajifunga kwako basi mnajisahau kabisaa, ila mchepuko uwa unaraha yake maana uwa kuna vionjo vya kila namna ilimradi akuteke, ila kwasasa sitaki kusikia mchepuko kabisaa
Mmmh tunajisahau na nini Jaman? Ila ujue Kuwa hata huo mchepuko ukishakuwa main chick atajisahau tu pia. Kuchepuka sio solution, Kama kuna mapungufu ongea tu vizuri na mwenzio mtafute solution ya tatizo. Umechepuka, si Umeona yalokukuta sasa
 
Mmmh tunajisahau na nini Jaman? Ila ujue Kuwa hata huo mchepuko ukishakuwa main chick atajisahau tu pia. Kuchepuka sio solution, Kama kuna mapungufu ongea tu vizuri na mwenzio mtafute solution ya tatizo. Umechepuka, si Umeona yalokukuta sasa

Ushauli mzuri ntaufanyia kazi
 
Mteule halisi

serves you right, silly sob!!! natamani na mchumba wako angekuja hapa na kupost issue kuwa kuna kidume kimemjaza mimba bila yeye kushtukia ishu...mgeenda sawa
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli vijana tutulie tubaki njia kuuu michepuko ya nini na vip mchumba wako alikuwa mbali mpaka ukaanza kuchepuka au ndio ile kuwa mwanaume hawi na mwanamke mmoja
 
Yani me hata kama mtu nampendaje... akimpa tu mimba msichana mwingine, ndo utakuwa mwisho wetu huo. No discussion

Mwambie ukweli sasa huyo mchumba wako afu ujue reaction yake. Ila sometimes wanaume mnashangaza, eti ooh ni mkubwa kwangu afu hana vigezo vya kuwa mke, kilichokufanya ukachepuke kwake ni nini? Si una mchumba wako mwenye vigezo vya kuwa mke jamani?
Vipi akiwa anapiga tu bila mimba?
 
Inakera sana...lijitu linajipigia tu kavukavu huko afu likiambiwa binti kanasa linaanza kuhaha
 
Vipi akiwa anapiga tu bila mimba?
Hahaha hiyo inategemea mambo mengi. Unaweza kuachwa instantly au usiachwe kwanza. sema hata usipoachwa, trust haitokuwepo tena na eventually tutaachana tu. Trust Ni kitu cha muhimu mnooo
 
Hawa hawana tofauti na mtu alie kula mapera kisha akapita porini na kujisaidia zile mbegu baadae matunda wanakuja kufaidika wapita njia wengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom