mwe wajameni, kwanini mnapenda kucheza na hisia na maisha ya watu??
Hucpomwambia mtarajiwa wako kuhusu ilo swala,baadae litakuja kukusumbua kuliko unavyofkiria sasa
Ni kweli
Apo ndo pananinyima usingizi, ni heri asijue kwasasa aje kujua mbele ya safari huko
Hapo ndo unaharibu zaidi
Unaamka wakati kumeshakucha!!
Huyo siyo kama ameamua anakuweka kwenye mabano utakapo oa tu na yy atatia timu na mtoto kuwa makini kaka yangu yalimkuta kama yako chukua tahadhari mapema
Wito wangu kwenu: Tuache michepuko jamani na tukumbuke kutumia kinga pindi unapochepuka.
[/SIZE]
HatA kuto kuvaa condom pia ulitegeshewa bila kujua... Zombi zomboko
We hukuyajua haya pindi unachepuka:what::what:
Sikuamini kama angenitegeshea maana anajua kama hana nafasi yakuishi na mimi