Nimetegeshewa mimba bila kujijua

Nimetegeshewa mimba bila kujijua

Ukiwa kama mwanamme kumweleza mpenzi wako ukweli ni lazima,na huyo mwanamke alokuzidi umri amekuzidi mpaka mawazo mkuu,ivi inakuwaje unaweka maisha yako rehani ivi? yani matangazo ya kinga mpaka kwenye maguzo ya umeme,vituo vya Dala dala huoni kabisaaaaaaaaaaaaa? huo mchepuko amekuzidi maarifa subiri ajue umeona ndio utauona
mpili pili na maua yake..
 
Mimi nina michepuko miwili ,mmoja hana kizazi na mwengine nimempata karibuni huwa nabutua tu kwa kuvaa kinga na ule mwengine huwa natupia risasi kali sana
 
Yani me hata kama mtu nampendaje... akimpa tu mimba msichana mwingine, ndo utakuwa mwisho wetu huo. No discussion

Mwambie ukweli sasa huyo mchumba wako afu ujue reaction yake. Ila sometimes wanaume mnashangaza, eti ooh ni mkubwa kwangu afu hana vigezo vya kuwa mke, kilichokufanya ukachepuke kwake ni nini? Si una mchumba wako mwenye vigezo vya kuwa mke jamani?

Asante kwa kunisemea heaven sent
 
Kanizidi umri na haja kizi vigezo vya kua wife

shenzi type! Eti hajakizi vigezo vya kuwa wife wakati unambinua na kubilingita hukuona hilo? Sasa mungu hana yake embu huyo alokizi vigezo aje akose uzazi ndo utakumbuka maneno haya.
 
kwa hyo wkt unamkatikia mauno mpaka ukamjaza mimba hukujua kuwa kakuzidi umri na hakua na vigezo unavyovitaka?

Hahahahahaaa, mchepuko sio lazina uwe na vigezo unavyotaka maana mnakutana kujistarehesha tu na baada ya hapo kila mtu na zake
 
Ha ha ha.. Hivi unajua sheria inayohusu ulezi wa mtoto wewe..? Sheria inakulazimisha kutoa matunzo kwa mwanao dude..! Na usije ukajidanganya utatelezea na mtoto kuja mwenyewe akikua..

Lakini vile vile its morally unjustified baba mzima kukaa na kutotoa matunzo kwa mwanao ambae ni damu yako kabisa.. So wewe unachotakiwa kufanya ni kukubali na kulazimisha uwe sehemu ya kumlea mwanao..

Nimekupata vizuri sana!
 
Yani me hata kama mtu nampendaje... akimpa tu mimba msichana mwingine, ndo utakuwa mwisho wetu huo. No discussion

Mwambie ukweli sasa huyo mchumba wako afu ujue reaction yake. Ila sometimes wanaume mnashangaza, eti ooh ni mkubwa kwangu afu hana vigezo vya kuwa mke, kilichokufanya ukachepuke kwake ni nini? Si una mchumba wako mwenye vigezo vya kuwa mke jamani?

Ujue shida iliyopo kwa nyie akina dada mkishaona kua mtu kajifunga kwako basi mnajisahau kabisaa, ila mchepuko uwa unaraha yake maana uwa kuna vionjo vya kila namna ilimradi akuteke, ila kwasasa sitaki kusikia mchepuko kabisaa
 
Ujumbe umefika.
Michepuko sio Dili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom