Nimetegeshewa mimba bila kujijua

Nimetegeshewa mimba bila kujijua

I hate you gys so much.. Michepuko michepuko weng wenu humu mnafuata mkumbo tu. ina maana hapo ungekuwa umeshamuambukiza mchumba wako Ukimwi. Akyanani W'ume nyiny Mungu wenu cjui n yupi!! maana hp duniani hatuwaelew mnataka nn mrithike.

Kwa ushaur suala la kuoa kwa ss acha wala ucfikirie, utapokuwa umeshacheza mechi nying na umetosheka ndio uoe lacyo utateseka. Kuen muda mwngne. Fikirien na kichwa cha kwanz ila hicho cha pili kinadanganya na mwshowe huletaga majuto..!!
 
Mnapenda kuchomeka kila shimo mengine yana ngadu
 
Hadi unakula mchepuko bila kndomu mkuu ulijitoa ufahamu?

muoe sasa
 
sijaona chochote ulichoshauri zaidi ya kutoa maelekezo ni vitu gani vya kuzingatia katika Tabia yako ya uchepukaji.

Wito wangu kwenu: Tuache michepuko jamani na tukumbuke kutumia kinga pindi unapochepuka.

wewe Una kichwa kimoja na fimbo moja utaingiaje kwenye mashimo mawili kwa wakati mmoja? jali afya yako,mjali mpenzi wako. kuwa mwaminifu
 
Kaka uwe unavaa plastic mapema na wakati wote!!matokeo ya kuloweka ndio hayo!!!
 
I hate you gys so much.. Michepuko michepuko weng wenu humu mnafuata mkumbo tu. ina maana hapo ungekuwa umeshamuambukiza mchumba wako Ukimwi. Akyanani W'ume nyiny Mungu wenu cjui n yupi!! maana hp duniani hatuwaelew mnataka nn mrithike.

Kwa ushaur suala la kuoa kwa ss acha wala ucfikirie, utapokuwa umeshacheza mechi nying na umetosheka ndio uoe lacyo utateseka. Kuen muda mwngne. Fikirien na kichwa cha kwanz ila hicho cha pili kinadanganya na mwshowe huletaga majuto..!!

Inamaana wanawake hawachepuki???
 
hahahaaaa majuto ni mjukuu na wachepukaji hawasikii mpaka yawakute ya kuwakuta. pole af koma dhambi lzm ikutafune
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom