Nimetapeliwa Sinza


aisee pole sana mkuu
 
mil 6 si unanunua kiwanja na kujenga vyumba viwili vya kuanzia maisha?au mnaonaje

milion 6 hata kiwanja hakitoshi jaman ingekuwa hvo hapa mjin kila mtu asingepanga hela nyingi hvo ili kuepuka usumbufu shda za nyumba ndo tatizo
 
Tafuta mshenzi mwenzake huyo tapeli tena awe polisi ndo atatoa lakini kwa kwenda kipolipolisi umeliwa .juzi kati katapeliwa demu hivo hivo na sijui kama sio huyo huyo tapeli ila aliingia choo cha kike kwa huyo demu na pesa kazitoa .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…