Nimetapeliwa na aliyekuwa mpenzi wangu

My personality tu. So kila mtu Ana chaguzi yake nadhani
Unapoweka chaguzi katika vitu'mambo flani ni laziwe uwe na sababu, ndio swali langu la kwanini lililenga hizo sababu za kwanini wakati unamtafuta my wife wako hukutaka wanaoishi wenyewe.
 
Mkuu nimekuelewa Ila kumbuka mie sio wewe. Kikubwa wewe Kama unatafuta komaa na vigezo vyako utapata. Kikubwa Omba Mungu usichague mke kisa hapo chini pamesimama. Ila pia hapa nakupangia. Mana maisha ama dunia ni tajiri Sana so unalipwa ama unapewa unavhohitaji ikupe
 
Dah 😂
 
Jamaa kajilia uroda bure kwa miaka 3 na hela kapewa!

Baadhi ya wanaume wabaya sana
 
Hapo lazima iume times two.

Kwanza amekusogezea mileage kinoma manina zake popote alipo.

Pili jamaa kakupiga hela aisee.

Shubamit zako shemela muuza mrembo na mwanajeshi wako wa kusadikika.
Dada Taratibu.

Imagine uyo muuza urembo ni mimi mdogo wako jaman.
 
Hapo lazima iume times two.

Kwanza amekusogezea mileage kinoma manina zake popote alipo.

Pili jamaa kakupiga hela aisee.

Shubamit zako shemela muuza mrembo na mwanajeshi wako wa kusadikika.
Dah, we jamaa ni hatariii...😂😂😂
Au unamjua alompiga nn...!?
......hata huruma 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom