Nimetapeliwa mwenzenu!

Nimetapeliwa mwenzenu!

Asee leo nimeamini yale maneno ya taikoni wa fasihi,usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna dem humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani,tukaekana sawa,tatizo likaja kwenye kuonana,dem akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea..chaajab hapikei sim wala kujib msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachoz twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Hii huwa inaumiza roho
 
Ha ha ha Ila sema tu ukweli Mkuu, ulikuwa unataka mke? Au ule tu mbususu usepe
Lengo ni kuichakata haswaa,pili kama iko fresh ndo mengine tuanzie apo! Kama alistuka iv
 
Ooooh my God!
20221112_115222.jpg
 
Dah pole ila acha UJINGA usipende kuonga siku zote wanawake tabia ZAO and it's THEIR NATURE NDIO MAANA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR ALISEMAGA KWENYE RAP ZAKE WE UNAONGA SISI TUNAMEGA KISELA KWAIYO ELA ULIYOMPA MSELA KAENDA KUENJOY NAKUMEGA KISELA BADILIKA HII NI KARNE YA 21. USIMWAMINI MWANAMKE ASILIMIA 100
 
Asee leo nimeamini yale maneno ya taikoni wa fasihi,usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna dem humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani,tukaekana sawa,tatizo likaja kwenye kuonana,dem akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea..chaajab hapikei sim wala kujib msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachoz twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Tunashukuru umemuelewa mwamba practically! Ila uandishi wako sio mzuri.
 
Back
Top Bottom