Nimetapeliwa mwenzenu!

Nimetapeliwa mwenzenu!

Asee leo nimeamini yale maneno ya taikoni wa fasihi,usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna dem humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani,tukaekana sawa,tatizo likaja kwenye kuonana,dem akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea..chaajab hapikei sim wala kujib msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachoz twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Ndo Yule single mother amekulipua chief 😬?
 
Vile nachukia fikshen
FB_IMG_16680117759032300.jpg
 
Hivi nyie vijana lini mtakuwana akili? Mtu anataka mkutane anaomba utumie nauli? Kama hata uwezo wa kuja kuonana na wewe hana, wa nini huyo?
Tatizo kichwa cha chini (abdala kichwa waz) keshaamua,mie nifanyeje sasa,vitu vingine sio vya kulaumiana mkuu!
 
Back
Top Bottom