Nimetapeliwa mwenzenu!

KUBA'BABAKOOO....CHOKO WEWE!....
 
Chukua tahadhari utapeli umehamia kwenye mitandao. Ili kuwaepusha na wengine wasijekupata madhara ungeweka utambulisho wake wa JF.
 
Na hii pia nakuchafua?
 
Hio hela huna nina uhakika kbs hio milion 4 na ushee hunaaa,kama ungekua nayo usingekuja kulalamika huku kutapeliwa kififty
 
Unaonekana unamatatizo yako binafsi!
Cna muda wa kijibizana naww!
Nimekuuliza swali badala ya kunijibu,unasema unasema nina matatizo yangu binafsi,any way huyo dada naona alikua sahihi kuchukua hio hela,kwasababu kwenye uzi wake amesema anahitaji mume na yupo serious kwa hilo,hio tsh 50 ulishindwa nin kwenda kununua malaya huko sinza?
 
Haki ya Mungu vile naapa,huo mchezo sichezagi mimi na kama nimewahi kumwomba huyo dada tgo lolote linipate,na kama sikumwomba naye apate ulemavu wa kudumu maishani mwake!
Ulemavu utapata wewe mjinga usie na akili timamu eti nimekutapel elfu 50 hahahah dua la kuku halimpati mwewe na ukae ukijua akuna laana za machoko zinazotiki kwa watu smart labda machoko wenzako
 
Madhara ya kuingia kichwa kichwa kwenye mahusiano ndo haya.
Hivi huko mtaani kwenu huonagi wanawake mpaka uje kushoboka na wanawake wa mitandaoni mkuu?
Hili swali Hata mimi huwa najiuliza sana!
Ukiona mtu anashoboka sana na watu wa mitandaoni ujue Ana Shida Flani hivi!! Na Wengine ni ma agent ambao wanakuwa wapo kwaajili ya kupandikiza uharibifu na maroho ya Kuzimu. Hivi unapataje Ujasiri wa Kumshobokea mtu ambae hata haumjui???
 
Kama kweli unachosema basi mkuu wewe bado mshamba sana wa wanawake..unampaje hela mtu humjui??[emoji848]
 

Na ww unaamini watu wanaotafuta mume mtandaoni? Amka usingizini
 
.
Ulitumaje hela bila kupata huduma kwanza?
.
Ulikubalije kutuma hela kwa mtu ambae hujawahi hata kumwona?
Yaani hapo fifty Nina odds zangu tatu ,,, nasikilizia matokeo,,,,, ila mwana katuma na ya kutolea dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…