Nimetapeliwa mwenzenu!

Umetafuta mchumba ushawaza kula mbususu...acha uliwe mkuu.
Mbona kwenye kikao chetu tulisha wekeana mipaka ya kutuma ela?
 
Hii ndio ilee...."Samahani namba unayopiga umepigwa"....iko mambo hapo
 
Mimi apa IYOLA NISEME TU UKWELI SPARK AJAWAI NIPA MIMI ELFU AMSINI NA YA KUTOLEA ZAID SPARK ALITAK CHINI INGAWAJE MIMI NILIITAJI SERIOUS MWENZA WA MAISHA KINGINE SI LAHISI MIMI KUDO SEX FOR FIRST TIME NA MTU NDO MNAENDA KUONANA NAE KWA MARA YA KWANZA
PLZ SPARK SIPENDI UGOMVI WALA SINA ROHO MBAYA MIMI MWAMBIE AKUTUMIE SMS YA MUAMALA YA IYO ELFU 50K
YANI WANAUME WA JF NILIWAONA WENGI NI INTELLIGENT AND CLEVER LAKINI NASIKITIKA KUSEMA UKWELI ASILIMIA 89 YA WANAUME WA JF NI WALE WA KUFAKE MAISHA KUFAKE ANYTHING... ,NEITHER THEY ARE NOT SMART ,CLEVER NOR INTELLIGENT
ANYMORE ....NILIZINGATIA SANA UMRI MAANA NILIJUA NINGEKUTAN NA WATOTO NAMM SIPENDI WATOTO KABISA AKIL ZAO KAMA IZI
SPARK UMEPAT NINI BAADA Y KUNICHAFUA
 

Kaonesha muamala wa Tigo pesa umemkwara lififty lake [emoji23][emoji23][emoji23]…una cha kujitetea binti?
 
Kaonesha muamala wa Tigo pesa umemkwara lififty lake [emoji23][emoji23][emoji23]…una cha kujitetea binti?
Huyo binti ni mwizi,tapeli na mwongo sana,kuna sehemu kajibu kule kwenye uzi wake eti nilimuomba tgo! (Ndogo) ndo sababu akaamua kunipiga hio 50k! Hapa anakuja na hadithi nyingine za kijinga.
Binafsi nimemsamehe bure sababu naona ana njaa na shida zake binafsi,na huenda ndio style yake ya kuendesha maisha hapa town (utapeli).
Kikubwa bado napumua ntapata tu pesa zengine,ila asijethubutu kumfanyia mtu mwengine kitendo alichonofanyia sababu watamtatua marinda.Sina muda wa kujibishana nae,namtakia kila la kheri katika safari yake ya maisha ila atambue tu hii dunia ni ndogo sana.
View attachment 2416941
 
Attachment haifunguki mkuu 🤪 rudiaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…