Nimetafuta ajira nimeipata kwenye kampuni la wahindi ila hiyo kazi, ushauri

Hadi umekuja kuuliza hapa nadhani umeikubali kwa asilimia kubwa kofia ya plastiki nakushauri kitu kimoja, ifanye kwa muda mfupi sana upate uzoefu flani halafu uiache, baadae utumie uzoefu huo kufanya biashara yako....kama unahitaji mawazo ya biasha utapata . Sikushauri uifanye zaidi ya mwezi mmoja hata ukipewa ofisi itakulemaza
 
Shukurani mkuu
 
Nilivyomaliza form 4 mwaka 2004 niliwah kuomba kazi, nkaenda nkapewa mkataba wa kazi, nkakabidhiwa kwa mtu wa kunifundisha kaz, kumbe ndo kaz hii unayokwenda kujaza mkataba kesho?

Nilizunguka na jamaa na mahotpot, mabesen, sahan, vikombe, tulitembea kutwa, kurud saa 12 jioni, mnaacha vitu kesho tena.

Aseh, sikurud hyo kesho.. Hyo syo kaz, watakunyonya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom