Nimetafuta ajira nimeipata kwenye kampuni la wahindi ila hiyo kazi, ushauri

a45

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Messages
931
Points
1,000

a45

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2017
931 1,000
Dah mkuu umenikumbusha mbali, beat zao ni kuwa unakuwa msambazaji wa bidhaa. Kuna kipindi nilimalizaga form six nipo kitaa Moro nikaomba hiyo kazi. Siku ya kwanza nikazunguka na jamaa hadi jioni misele ya kutosha kwenye maofisi ya watu. Siku ya pili tupo mtaani nikakutana na madem wananifahamu kindakindaki. Nilijifunika na beseni lakini walishaniona. Tulivyopishana tu nikampa vyombo vyote yule mwalimu wangu na sikurudi tena!!!
 
Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
6,010
Points
1,995

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
6,010 1,995
Mkuu kama huna mtaji na huna idea ya kufanya shughuli yoyote tofauti na hiyo kwa maana ya vibarua wa viwandani fanya juu chini utafute kuwa na fani ya ufundi utajutia kamwe ila ina hitaji uvumilivu siku michongo iki tiki inatilia kweli
 
dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
10,047
Points
2,000

dolevaby

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2013
10,047 2,000
Hakuna kazi hapo ni upuuzi afadhali ukabebe zege upate mtaji ufungue genge
Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)

Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
5,472
Points
2,000

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
5,472 2,000
Dah mkuu umenikumbusha mbali, beat zao ni kuwa unakuwa msambazaji wa bidhaa. Kuna kipindi nilimalizaga form six nipo kitaa Moro nikaomba hiyo kazi. Siku ya kwanza nikazunguka na jamaa hadi jioni misele ya kutosha kwenye maofisi ya watu. Siku ya pili tupo mtaani nikakutana na madem wananifahamu kindakindaki. Nilijifunika na beseni lakini walishaniona. Tulivyopishana tu nikampa vyombo vyote yule mwalimu wangu na sikurudi tena!!!
maisha hayajawahi kuwa na nidhamu aisee,yakiamua yameamua!
 
Forum statistics

Threads 1,343,413
Members 515,033
Posts 32,783,872
Top