Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini usifanye mwenyewe binafsi hiyo kazi hadi ufanye na hao wahindi?Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)
Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
Ukikutana na classmate usijetupa mabeseni. Au una standby masks?
UNAZUNGUKA NA USAFIRI AU,KAMA KWA MGUU MSHAHARA NI WA KUBADILISHA SOLI YA KIATU .Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)
Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
aisee nimecheka SanaNilivyomaliza form 4 mwaka 2004 niliwah kuomba kazi, nkaenda nkapewa mkataba wa kazi, nkakabidhiwa kwa mtu wa kunifundisha kaz, kumbe ndo kaz hii unayokwenda kujaza mkataba kesho?
Nilizunguka na jamaa na mahotpot, mabesen, sahan, vikombe, tulitembea kutwa, kurud saa 12 jioni, mnaacha vitu kesho tena.
Aseh, sikurud hyo kesho.. Hyo syo kaz, watakunyonya
dahUkikutana na classmate usijetupa mabeseni. Au una standby masks?
Hahaaisee nimecheka Sana
Domestic chores ni bidhaa? Kiingereza gani hiki?Domestic chores mkuu
mkekabetBidhaa gani?? Labda zinauzika kwa urahisi japo bado unanyonywa sanaa...Ukiuza 100k unapata elfu 10 tu...
Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)
Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
DuhSijawahi kufikiria kufanya hiyo kazi labda nikushauri kama una mtaji wa kufika hata laki 1, inatosha kuanza kufanya biashara yako ila kama huna kabisa fanya kwa lengo la kutafuta mtaji tu.
Mkuu kuna dogo kamaliza chuo yupo tuu mtaani, hebu tuyajenge..Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)
Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
😂😂 ana kofia la plastiki,itasimama badala ya maskUkikutana na classmate usijetupa mabeseni. Au una standby masks?
Mkuu kuna dogo kamaliza chuo yupo tuu mtaani, hebu tuyajenge..
[/QUOTE
Niliwahi kutembeza hayo mabeseni changamoto hayo mabeseni ni makubwa balaa hata daladala wanakukataa kwamba utamaliza nafasi, malipo hayako wazi unaweza kufanya malipo ukalipwa tofauti nilifanya wiki nikaacha nikafungua genge la kuuza matunda.
Dah mkuu umenikumbusha mbali, beat zao ni kuwa unakuwa msambazaji wa bidhaa. Kuna kipindi nilimalizaga form six nipo kitaa Moro nikaomba hiyo kazi. Siku ya kwanza nikazunguka na jamaa hadi jioni misele ya kutosha kwenye maofisi ya watu. Siku ya pili tupo mtaani nikakutana na madem wananifahamu kindakindaki. Nilijifunika na beseni lakini walishaniona. Tulivyopishana tu nikampa vyombo vyote yule mwalimu wangu na sikurudi tena!!!Ukikutana na classmate usijetupa mabeseni. Au una standby masks?
Bora mkuu maana duuhMwaka 2009 nimemaliza kidato cha sita daah nikaonaga gazeti tangazo la kazi, nikatuma maombo lazi yenyewe ipo chang'ombe maduka mawili kufanya usaili kupata kazi nikapewa mavyombo na jamaa nianze kuvitembeza hahahaha daah aisee nikakumbuka nianze kutembeza vyombo nianze kukutana na watu wanaonijua? Vumbi la Dar nikaona bors nikae tu nyumbani bila kazi...
Picha limeanza nimetoka tu nje nakutana na jamaa niliomaliza nao A level wanaenda kuchukua leaving certificate shuleni daah..nikasema hii kazi lazima inishinde tuuBora mkuu maana duuh