Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Nov 19, 2009 Thread starter #61 vivian said: Maumbile ya kuku na mwanadamu ni tofauti!! hivi umeshawahi kuona hata n'gombe akikosea? au punda!!! acheni Dhambi jamani waungwana. kuna moto!!!! Click to expand... Nani kakwambia kuna moto? Acheni kuogopesha watu
vivian said: Maumbile ya kuku na mwanadamu ni tofauti!! hivi umeshawahi kuona hata n'gombe akikosea? au punda!!! acheni Dhambi jamani waungwana. kuna moto!!!! Click to expand... Nani kakwambia kuna moto? Acheni kuogopesha watu
Masaki JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,463 Reaction score 755 Nov 19, 2009 #62 vivian said: biblia inasema ole wa mfira..ji na mfirw..ji Click to expand... Huyu ni wewe? Wengine tumezoea kuuziwa mbuzi kwenye gunia, kwa hiyo naweza kujifunga mabomu nikajilipua tu! Haina shida! Hata wale mbuzi wangu wa kijijini kwetu wote nitauza kwa ajili yako vivian!
vivian said: biblia inasema ole wa mfira..ji na mfirw..ji Click to expand... Huyu ni wewe? Wengine tumezoea kuuziwa mbuzi kwenye gunia, kwa hiyo naweza kujifunga mabomu nikajilipua tu! Haina shida! Hata wale mbuzi wangu wa kijijini kwetu wote nitauza kwa ajili yako vivian!
KIFARU Senior Member Joined Apr 6, 2009 Posts 172 Reaction score 16 Nov 19, 2009 #63 Mkuu fide hongera ila na mashaka kidogo,time will tell
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,949 Reaction score 38,687 Nov 19, 2009 #64 FIDEL umemaanisha kuacha au unatania mkuu??? kama ni kweli nakushauri umshukuru Mungu kwa kukunusuru au la ungetopea topeni. Jamani kula tope ni balaa, acheni kina masanilo
FIDEL umemaanisha kuacha au unatania mkuu??? kama ni kweli nakushauri umshukuru Mungu kwa kukunusuru au la ungetopea topeni. Jamani kula tope ni balaa, acheni kina masanilo
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,332 Reaction score 17,861 Nov 20, 2009 #65 Chrispin said: Hahaha! Ishia hapo hapo! Si wanasemaga wachaga hawajui malavidavi. Sasa tunayaonyesha theoretically! Click to expand... well said Mpwa. hivi huyu ni SHE/HE jamani manake sijamuona kwenye quorum yetu.....hebu mnisogezee file lake
Chrispin said: Hahaha! Ishia hapo hapo! Si wanasemaga wachaga hawajui malavidavi. Sasa tunayaonyesha theoretically! Click to expand... well said Mpwa. hivi huyu ni SHE/HE jamani manake sijamuona kwenye quorum yetu.....hebu mnisogezee file lake
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,025 Reaction score 60,133 Nov 20, 2009 #66 kujiexpress ndo nini?Fidel
Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,065 Nov 20, 2009 #67 Mama 5J's said: kujiexpress ndo nini?Fidel Click to expand... kwa niaba ya fidel=NI KULA MAINI!😀
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,025 Reaction score 60,133 Nov 20, 2009 #68 Geoff said: kwa niaba ya fidel=NI KULA MAINI!😀 Click to expand... bado msamiati.
Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,065 Nov 20, 2009 #69 Mama 5J's said: bado msamiati. Click to expand... kula maini=KULA NDOGO
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,025 Reaction score 60,133 Nov 20, 2009 #70 Geoff said: kula maini=KULA NDOGO Click to expand... Hii misemo bwana,yaani unaniacha kwenye mataa ya ubungo
Geoff said: kula maini=KULA NDOGO Click to expand... Hii misemo bwana,yaani unaniacha kwenye mataa ya ubungo
Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,808 Nov 20, 2009 #71 hongera sana mwaya, huu ndo uamuzi mkubwa uliowahi kufanya into ur life. kiukweli hakuna faida yoyote than side effects
hongera sana mwaya, huu ndo uamuzi mkubwa uliowahi kufanya into ur life. kiukweli hakuna faida yoyote than side effects
Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,920 Reaction score 4,242 Nov 20, 2009 #72 kumbe ilikuwa kweli? mie nilidhani unatania tu! makubwa haya!
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,413 Nov 21, 2009 #73 ZD kuna watu wana vituko humu .....
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,413 Nov 21, 2009 #74 remmy said: hongera sana mwaya, huu ndo uamuzi mkubwa uliowahi kufanya into ur life. kiukweli hakuna faida yoyote than side effects Click to expand... kweli bwana kijana sijui alifunga kwa maombi kwanza ndo akatoa maamuzi
remmy said: hongera sana mwaya, huu ndo uamuzi mkubwa uliowahi kufanya into ur life. kiukweli hakuna faida yoyote than side effects Click to expand... kweli bwana kijana sijui alifunga kwa maombi kwanza ndo akatoa maamuzi