mapenzi ya kitoto raha sana, mvulana kashindwa ata kumuuliza huyo anapiga nani eb pokea hiyo simu..kaenda kulalamika kwa mvulana mwenzie hahahah Wanaume hawapo ivo 😀Jamaa hana chake hapo yani Angekuwa mwanaume kweli ilibidi amkazie manzi palepale kuwa apokee ile simu...!!
Chuo mmemaliza? Kama bado, hebu someni kwanza mjenge ya msingi.
Halafu kwa uzoefu wangu, mapenzi yanayoanzia chuoni mara nyingi huwa hayaendelei after school hata muwe na malengo kiasi gani. Huku kitaa kuna kuna kanuni zake ngumu mno.
Hakika mkuu yani amezingua sana..mapenzi ya kitoto raha sana, mvulana kashindwa ata kumuuliza huyo anapiga nani eb pokea hiyo simu..kaenda kulalamika kwa mvulana mwenzie hahahah Wanaume hawapo ivo 😀