Sasa ukisema kazi yeyote ni dalili ya kupoteza uelekeo. Ajira kwa waalimu bado hazijatoka?
nimemaliza ualimu mwezi huu nimejaribu kukaa nyumbani ila nakua boared nilisomea kufundisha Geography na Kiswahili natafta kazi yoyote asanten 0658825141
nimemaliza ualimu mwezi huu nimejaribu kukaa nyumbani ila nakua boared nilisomea kufundisha Geography na Kiswahili natafta kazi yoyote asanten 0658825141
Mkuu, mbona kazi za ualimu ndio pekee wanaoajiri moja kwa moja, pia ndio sehemu pekee ambayo ajira yake ipo kila sehemu hivyo nakushauri zungukia Shule mbalimbali omba hata kujitolea naamini kama output yako itakua nzuri hautakosa angalau ela ya kusukuma siku.nimemaliza ualimu mwezi huu nimejaribu kukaa nyumbani ila nakua boared nilisomea kufundisha Geography na Kiswahili natafta kazi yoyote asanten 0658825141
Nadhani ni mpaka aandike barua ya maombi kwenda kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Ufundi, S.L.P 9121, DSM.Mkuu, mbona kazi za ualimu ndio pekee wanaoajiri moja kwa moja, pia ndio sehemu pekee ambayo ajira yake ipo kila sehemu hivyo nakushauri zungukia Shule mbalimbali omba hata kujitolea naamini kama output yako itakua nzuri hautakosa angalau ela ya kusukuma siku.
tujitahidi kumshauri mtu zaidi badala ya kumponda zaidi,ikiwezekana msaidie hakuna kitu kibaya kama kukatishwa tamaa.:embarassed2: