Nlikuwa na mpenz wang ambae nmedm nae kwa miaka mng,wakat namalza kdato cha 6,na yeye ndo alikuwa anamalza chuo cha ualm,kzazaa kmetokea mara baada ya yeye kpangiwa mkoa jiran na kwetu,na kjj alchopangiwa hakna ht netwek,kwa hyo cna comncation nae tena,ukwel bado nampenda,shle anayofndsha cifaham,wana MMU,nfanyaje?
Daaah umesoma wapi wewe?
Huna hata haja ya kuomba ruhusa. Kiuungwana tu unaweza kumkanya mara moja, akiendelea bonyeza abuse. Mods wameruhusu hilo.ahsante nilitaka nimwambie hivyo hivyo..... mod naomba kama mnaniruhusu niwe nikiona lugha za namna hii nabonyeza report abuse, naomba ruhusa nitawaleta wengi kweli..... hawa watoto wa shule kazi kweli kweli!!
ahsante nilitaka nimwambie hivyo hivyo..... mod naomba kama mnaniruhusu niwe nikiona lugha za namna hii nabonyeza report abuse, naomba ruhusa nitawaleta wengi kweli..... hawa watoto wa shule kazi kweli kweli!!
Nenda kaweke mnara,
im not mtoto wa shule men,nna maisha yang,understand,iyo six n longtym ndo nmemalza.
Jifunze kuandika kwa ufasaha....
:focus: Nenda kamtembelee huko kijijini...
im not mtoto wa shule men,nna maisha yang,understand,iyo six n longtym ndo nmemalza.