Nimesoma diploma ya community development je sifa ya kusoma degree ya law nitakua nayo?

bichwa mtoto

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
274
563
Kama mada husika inavyo jieleza mimi ni mhitimu wa diploma ya community development kwa sasa nipo tu home kama mwaka. mwaka huu nimependelea kuendelea na elimu ya degree na fursa zaidi naiona iko kwenye upande wa degree ya sheria (law) je sifa za kujiunga na degree hiyo ninayo au sina na kama ninayo kwa vyuo vipi kwa hapa Tanzania.
Na kama sina sifa ni kozi ipi nyingine naweza kuendelea nayo yenye fursa zaidi ambazo hata bila kuajiriwa naweza kujiajiri mwenyewe na maisha yakaendelea
 
Back
Top Bottom