Nimesikitishwa na Watanzania!

Nimesikitishwa na Watanzania!

hii imekuwa kero tu kwa kweli mie shughuli zangu zimekwama, leo pesa ndo nishakosa kisa nilipokuwa naenda hakupitiki, imebidi nisakanyue mambo mengine


Angalia productivity iliyopotea leo na kero barabarani kwa mfu!!! Something is missing kwetu watz
 
wewe ni miongoni mwa watanzania wajinga sana..Kanumba anakusaidia nini? unaacha kwenda kufanya kazi upate kuisaidia familia yako unaenda eti kuangalia kanumba anazikwa kama sio utaahira ni nini? bora angekufa kifo cha maana..kafa kwenye uzinifu..to hell with him...kwanza natashangaa sana kama padri atakuja kuendesha misa yake..anapaswa azikwe kama bata tu aliyegongwa na bodaboda

Azikwe kama bata? Kweli huna ubinadamu wewe, subiri wewe uje uzikwe kama bata
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nimebaki nashangaa na aina ya fikra au mtazamo wa watanznaia yapo mengine lakini kuna huii thread iliwahi kuwepo hapa jamvini, wadau wa filamu bongo fungueni macho nje ya mipaka, ukiisoma labda unaweza kuwaelezea vizuri watanzania
 
Nyomi la kufa mtu hata sisiemu na ubwabwa wao + kofia +tshirt + vitenge +buku30 hawajawai jaza watu namna hii.
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

The Rt. Rev. Masa: Hii ndio Bongo, na wakati fulani nchi hii ili-wahi kuitwa Jamhuri ya Muungano wa Mapumziko. Hopeful tunarudi kulekuleeeee!!!

 
Iko wazi Dar watu wengi hawana shughuli maalum za kufanya,wapo wapo tu! so huo msiba imekua km ni sehemu ya kusogeza siku! ukizingatia hakuna kiingilio! hii nchi bwana tunaendeshwa na matukio! kufa kupo tu nani ataishi milele? au coz kafa msanii mkubwa?
 
Kanumba ana deserve heshima zote hizo toa wivu wao hapa..............
 
This shows how much time is wasted in front of the screens by many Tanzanians......
 
.....mtu wa watu. Kuhudhuriwa mazikoni na melfu ya watu pia ni bahati...
Hii Tv coverage imewasaidia fans wake nchi nzima, Masanilo take it easy bro.

RIP Steve Kanumba.
 
hii ni kali kwani hata vipindi vya Radio mbalimbali vimekuwa adjusted kwa hii kitu. Sijui akifa na msanii mwingine ghafla itakuwaje?
si ndio hapo ndugu yangu,nchi hii bwana na mijitu mingine inaunga mkono upuuzi huu!!Leo kuna watu kibao hawajafika maofisini wamejiongezea siku ya kupumzika kwa madai ya kwenda kumzika Kanumba!!TZ eeeeeeeehhhhh....................
 
Kuhangaika na misiba ni jadi yetu Waafrika na Kanumba (RIP) bila shaka alikuwa na umaarufu mkubwa kwa Watanzania wenzetu wengi. Lakini ukweli mwingine uliopo hapa ni wa wajanja wengi kupata fursa "adhimu" ya kujipa ujiko katika msiba huu. Hawawezi kuiacha ipite hivihivi. Na kama kawaida yao kila mkulu lazima akauze sura na kujinasibu hapo (penye umaarufu) kama vile itafidia utendaji duni kwenye majukumu yake ya msingi; kama vile alikuwa na mchango wowote wa maana katika umaarufu aliofikia bwana mdogo huyo. Sie wengine tungefurahi kuona hamasa ya aina hiyohiyo katika masuala yote muhimu ya kitaifa - hata katika kuikuza sanaa nchini.
 
Asante Mbu,

Kweli kuna watu wanazaliwa na nyota, for whatever reasons kisiasa au kisanii
Amepata almost 'state burial'
ni wangapi wanapata hii ukiachia viongozi wa kitaifa?

He was one of his kind!

.....mtu wa watu. Kuhudhuriwa mazikoni na melfu ya watu pia ni bahati...
Hii Tv coverage imewasaidia fans wake nchi nzima, Masanilo take it easy bro.

RIP Steve Kanumba.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Sitaki kusema kitu.

Prime time protions(cloudsmedia) Mko juu. You are such creative giants.

Mechi za simba.. you did it
mechi za yanga .. you did it
Msiba wa kanumba.. you have done it

Hongereni.
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

Wewe mutu hauko byee,waropoka kama uko kusoko,kinshansa,bujimayi mipande kote batu banaomboleza,uko na mawivu..sio muzuri.
 
asante masanilo kwa kujitofautisha nao, niko pamoja na wewe.
Mimi naomba niulize maswali mawili tu,
1. Kwamba amekuza tasnia ya filamu tanzania, kivipi?
2. Kwamba ameitangaza tanzania? Kivipi? Kazi gani ya kanumba inaitangaza tanzania yetu? Kazi za kanumba zilikuwa zinaportray utamaduni gani wa kitanzania? Au ni mafundisho gani ya msingi yanapatikana kwenye kazi zake?
3. Nani anapinga kwamba, huyu alikuwa ni mmoja wa watanzania ambao hakuwa akilipa kodi wakati alikuwa anajiingizia mapesa mengi kwa shughuli zake? Kwa hili, rais wa nchi alistahili kuahirisha safari zake za kikazi sababu ya msiba wake?

Ombwe la hekima limetapakaa nchi nzima.

watu bwana
 
si ndio hapo ndugu yangu,nchi hii bwana na mijitu mingine inaunga mkono upuuzi huu!!Leo kuna watu kibao hawajafika maofisini wamejiongezea siku ya kupumzika kwa madai ya kwenda kumzika Kanumba!!TZ eeeeeeeehhhhh....................
Nguvu ya vyombo vya habari hii. Kanumba amekuwa maarufu mara tatu ya alivyokuwa hai! Kwa nini JK hakutangaza siku ya mapumziko leo?
 
Mi niko hapa napigwa na butwaa tu.

Kuna mzembe mmoja kafiwa na anko wake Moro hapo kakacha kwenda kumzika eti ili akamzike Kanumba.

Ngoja nijinywee bia zangu mie. Ntaenda wapu wakati nlipotaka kwenda barabara haipitiki kisa mzinzi mwenzangu anazikwa?

RIP mfanya ngono mwenzangu.
 
CCM wamefanya msiba wa chama. Mkama na Nape wameongea kwaniaba ya chama
 
Back
Top Bottom