Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Watu wanalalama eti ajira hakuna anaitwa Kwenye interview anapewa Mtihani wa Kuandika ili wapate kutambua Uwezo wake.
Anaanza Kulia kwenye chumba mtihani eti hesabu ngumu mnataka Magufuli aje awafanyie mtihani? Hebu tumuhurumie rais ana kazi nyingi sana hatakua anawafanyia interview nafasi za kazi hizo hizo chache mnaombwa kuzichangamkia na Kujiandaa vyema na Usaili.