Sio siri hawa Airtel wamepitiliza; imagine kukopa 25000 kwa wiki mbili unalipa riba 6000!!ambayo ni asilimia 25. Yaani BOT na TRA muwamulike hawa, wenzao wa Voda na Tigopesa wako chini ya asilimia 10, hawa ni wezi kabisa wamejaza matangazo mazuri kurubuni watu lakini wezi. Hata kama tunashida sio kutukomoa hivi, Mungu anawaona.