mi sina chama chochote cha kisiasa ila alichokiandika mch. Msigwa ni uongo na unafiki kwa kutaka kuwaaminisha wananchi ambao wapo mbali na iringa ukweli anatakiwa ajilaumu yeye na kamat yake iliyomuweka mgombea ambaye sio chaguo sahihi kwa kuthibitsha hilo jana nlikuwa maeneo ya kata ya nduli kwa utafit ambao nimefanya na elimu yangu ambayo mwenyez mungu kanijaalia ni dhahir kuwa mgombea wa upande wa cdm hakuwa na mashiko na kingine ni siasa za vurugu ambazo mch msigwa amezifanya kabla ya uchaguz ndo kimewagharimu cdm.
Na bado....
Na bado....
Mi sina chama chochote cha kisiasa ila alichokiandika Mch. Msigwa ni Uongo na unafiki kwa kutaka kuwaaminisha wananchi ambao wapo mbali na Iringa ukweli anatakiwa ajilaumu yeye na kamat yake iliyomuweka mgombea ambaye sio chaguo sahihi kwa kuthibitsha hilo jana nlikuwa maeneo ya kata ya Nduli kwa utafit ambao nimefanya na elimu yangu ambayo mwenyez Mungu kanijaalia ni dhahir kuwa Mgombea wa upande wa CDM hakuwa na Mashiko na kingine ni siasa za vurugu ambazo Mch Msigwa amezifanya kabla ya uchaguz ndo kimewagharimu CDM.