Nimesikitishwa na alichoandika Mch. Msigwa. Kuhusu Nduli

Livejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
2,073
Reaction score
2,812
Mi sina chama chochote cha kisiasa ila alichokiandika Mch. Msigwa ni Uongo na unafiki kwa kutaka kuwaaminisha wananchi ambao wapo mbali na Iringa ukweli anatakiwa ajilaumu yeye na kamat yake iliyomuweka mgombea ambaye sio chaguo sahihi kwa kuthibitsha hilo jana nlikuwa maeneo ya kata ya Nduli kwa utafit ambao nimefanya na elimu yangu ambayo mwenyez Mungu kanijaalia ni dhahir kuwa Mgombea wa upande wa CDM hakuwa na Mashiko na kingine ni siasa za vurugu ambazo Mch Msigwa amezifanya kabla ya uchaguz ndo kimewagharimu CDM.
Tumeshindwa kata ya nduli Iringa MJINI , polisi imetumika kwa nguvu kubwa kusaidia CCM ishinde , nimewekwa ndani kwa kosa amabalo sikutenda na Kisha kufikishwa mahakamani, Leo nilikamatwa tena nikazuiliwa masaa mtatu na vijana wangu 25 wapo polisi eti kwa kosa la kwenda kwenye eneo la kata.
 
weka hapa alichoandika acha kulopoka kama hapa ni kirabu cha pombe ngumu....
 
Mi sina chama chochote cha kisiasa ila alichokiandika Mch. Msigwa ni Uongo na unafiki kwa kutaka kuwaaminisha wananchi ambao wapo mbali na Iringa ukweli anatakiwa ajilaumu yeye na kamat yake iliyomuweka mgombea ambaye sio chaguo sahihi kwa kuthibitsha hilo jana nlikuwa maeneo ya kata ya Nduli kwa utafit ambao nimefanya na elimu yangu ambayo mwenyez Mungu kanijaalia ni dhahir kuwa Mgombea wa upande wa CDM hakuwa na Mashiko na kingine ni siasa za vurugu ambazo Mch Msigwa amezifanya kabla ya uchaguz ndo kimewagharimu CDM.

Hawapendi kusikia haya maneno
kuchagulia watu viongozi yaliwagharimu sana CCM na sasa wamebadilika na wanaheshimu maoni ya wanachama wao.
sasa kama CDM nao wameingia ktk hili basi wasimtafute mchawi
 
Mi sina chama chochote cha kisiasa ila alichokiandika Mch. Msigwa ni Uongo na unafiki kwa kutaka kuwaaminisha wananchi ambao wapo mbali na Iringa ukweli anatakiwa ajilaumu yeye na kamat yake iliyomuweka mgombea ambaye sio chaguo sahihi kwa kuthibitsha hilo jana nlikuwa maeneo ya kata ya Nduli kwa utafit ambao nimefanya na elimu yangu ambayo mwenyez Mungu kanijaalia ni dhahir kuwa Mgombea wa upande wa CDM hakuwa na Mashiko na kingine ni siasa za vurugu ambazo Mch Msigwa amezifanya kabla ya uchaguz ndo kimewagharimu CDM.
Bora Nduli iende kwa mafisadi inanikumbusha nduli idd Amin dada
 
IMG_9927.JPG
 
Chadema kaeeni mjipanga namna ya kupambana na CCM
 
Eti chadema imechokwa labda ww ndo umechokwa na mme wako, arusho sombetin si ilikuwa ni ya ccm? Sasa waulize kama wamerudisha kata yao!!

Sombetini tu ndio kata iliyokuwa inafanya uchaguzi mdogo hizo kata nyingine zilikuwa zinapiga katerero.
 
Mi sina chama chochote cha kisiasa ila alichokiandika Mch. Msigwa ni Uongo na unafiki kwa kutaka kuwaaminisha wananchi ambao wapo mbali na Iringa ukweli anatakiwa ajilaumu yeye na kamat yake iliyomuweka mgombea ambaye sio chaguo sahihi kwa kuthibitsha hilo jana nlikuwa maeneo ya kata ya Nduli kwa utafit ambao nimefanya na elimu yangu ambayo mwenyez Mungu kanijaalia ni dhahir kuwa Mgombea wa upande wa CDM hakuwa na Mashiko na kingine ni siasa za vurugu ambazo Mch Msigwa amezifanya kabla ya uchaguz ndo kimewagharimu CDM.

Kwanza anawaita watu wazima vijana wake.
mkewe ana mtoto mdogo wa miaka mitatu. Hiyo n dharau.!!"Vijana wangu"
 
msigwa hajaanza uongo leo hana maana sijawahi kuona mchungaji muongo kama msigwa na slaa kwenye dunia hii.
 
Back
Top Bottom