Nimesikia mabinti wa kisiwa cha marashi

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,505
2,000
Wakuu ninataka kujua ili nisiziamini tena hizi tetesi au niamini kama hiki kitu ni kweli endapo na nyie mmeshawahi kusikia hiki kitu
Nimesikia mabinti wa huko wakati wanaolewa hutakiwa kukutwa wakiwa mabikira,yani hawatakiwi kuguswa mpaka wakiIngia ndani ya ndoa.kwa kuwa nao kutokana na sheria kuwabana basi huamua kutumia goli la kusini baada ya kaskazini ili mumewe wa ndoa aje kufaidi hiyo kitu ya kukata uutepe kwenye jengo jipya.
Sina muda wa kubishana ila nahitaji kujua tu kama ndugu zetu huyatenda haya au wanapakwa tu matope.
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
38,854
2,000
Sidhani kama ni kweli.

Na kama ni kweli Nahisi wanakuwa hawajui madhara yake kwani kama wanataka waume zao wafaidi kwa nini wasijitunze, kuliko kuharibiwa pasipo sababu za msingi.

Ila ngoja wahusika kama wapo watupe ukweli.
 
njabo

Senior Member
Oct 20, 2014
195
0
Wakuu ninataka kujua ili nisiziamini tena hizi tetesi au niamini kama hiki kitu ni kweli endapo na nyie mmeshawahi kusikia hiki kitu
Nimesikia mabinti wa huko wakati wanaolewa hutakiwa kukutwa wakiwa mabikira,yani hawatakiwi kuguswa mpaka wakiIngia ndani ya ndoa.kwa kuwa nao kutokana na sheria kuwabana basi huamua kutumia goli la kusini baada ya kaskazini ili mumewe wa ndoa aje kufaidi hiyo kitu ya kukata uutepe kwenye jengo jipya.
Sina muda wa kubishana ila nahitaji kujua tu kama ndugu zetu huyatenda haya au wanapakwa tu matope.
Kwa hiyo wote wameshafumuliwa marinda!! ...duuuh hii hatari.
 
WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,706
2,000
Huo utakuwa mtazamo wa watu tu!Unaweza kukuta kwenye mia wapo watano!"Kizibo" kinaongeza heshima ila sio lazima.Sidhani kama mwanamke mwenye akili atakubali wamchome jicho kisa anahifadhi kizibo!
 
muhtad

Member
Nov 11, 2013
96
95
Wewe Muanzisha mada nikuulize kwanza..halafu nitakujibu swali lako. Swali: Je uko tayari kula embe ilioliwa na jongoo,popo,komba?
 
itakatikiamo

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
237
225
Wakuu ninataka kujua ili nisiziamini tena hizi tetesi au niamini kama hiki kitu ni kweli endapo na nyie mmeshawahi kusikia hiki kitu
Nimesikia mabinti wa huko wakati wanaolewa hutakiwa kukutwa wakiwa mabikira,yani hawatakiwi kuguswa mpaka wakiIngia ndani ya ndoa.kwa kuwa nao kutokana na sheria kuwabana basi huamua kutumia goli la kusini baada ya kaskazini ili mumewe wa ndoa aje kufaidi hiyo kitu ya kukata uutepe kwenye jengo jipya.
Sina muda wa kubishana ila nahitaji kujua tu kama ndugu zetu huyatenda haya au wanapakwa tu matope.
fanya research, tafuta wahusika (wana visiwani), kisha rudi tena jukwaani na ripoti kamili siyo porojo.
 
bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
3,053
2,000
Kazi yenu kujadili ujinga tu humu kwenye mtandao.

Hebu jadilini ya maana fedha za nchi zimechukuliwa kweupe nini kifanyike?

Muanzisha mada ukishajua kwamba hilo ndilo linalotendeka utapata faida gani? SAUTI YAKO ina echo (mwangwi)
 
Siku za ajabu

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
1,106
2,000
ngoja niseme utafiti unaonyesha hivi huu utafiti nimeutoa kwa daktari na umefanyika kweli kwamba nchi za kiarabu ndiko mchezo wa kinyume cha maumbile ulipoanzia sababu ni kwamba waarabu tamaduni zao ni kuoa bikra kinyume chake binti haolewi sasa kwa kuwa tamaa ya mwili ipo ndipo mabinti hufanya kinyume ili kulinda kuolewa kwahyo mxhezo huo ni mwingi sana kwa waarabu sasa kwa zanzibar kwa kuwa walitawaliwa na waarabu na mila na desturi hata mavazi ni kama waarabu si haba kwamba mchezo huo upo.....hii ni taarifa ya mtaalam wa saikolojia na magonjwa alitoA taarifa katika semina hapa daressalaam.
 
Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,551
2,000
Kazi yenu kujadili ujinga tu humu kwenye mtandao.

Hebu jadilini ya maana fedha za nchi zimechukuliwa kweupe nini kifanyike?

Muanzisha mada ukishajua kwamba hilo ndilo linalotendeka utapata faida gani? SAUTI YAKO ina echo (mwangwi)
Hata tukijadili escro hela imeshaliwa na hakuna hatua zozote za maana zimechukuliwa hadi mda huu kwani ishu kama hii hata tanzania kwani ndiyo mara ya kwanza wezi wa EPA wako wapi RICHMOND wako wapi? Ukiona threat kama hzi ujue watu wamesha data hawaoni tena umuhimu wa kuendelea kujadili upuuzi wa kupotea kwa hela!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom