Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,846
Training Day na Flight nazo tamu sanaJohnQ ilinisisimua,ilinifundisha namna mwanamume anavyopaswa kuwa jasiri when it comes to protect his family, ilinitoa machozi.
Training Day na Flight nazo tamu sanaJohnQ ilinisisimua,ilinifundisha namna mwanamume anavyopaswa kuwa jasiri when it comes to protect his family, ilinitoa machozi.
Flight ni bonge moja ya movie... everTraining Day na Flight nazo tamu sana
Mbona picha ya mkewe hujaweka ili tuthibitishe kwamba ni 'mbichi kabisa'Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian candidate, Antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu
Juzi nimeona picha yake akiwa na miaka 70, amezeeka ni babu, uzee is real.
Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4, mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na Ulaya hawazeeki ovyo.
View attachment 3214316
hii Franchise jamaa aliua sana"The Equalizer"
Kwamba huyo ni Mtz? MmhKamachumu bukoba,ana ndugu yake muhaya kafariki mwaka juzi anaitwa michael njumba,google utamuona
Ukimuangalia Arnold Shwarzenneger au Ronie Coleman,ukawakumbuka ujana wao na yale manguvu yao,ndio utaamini kua Time ndio kila kitu,muda hua hausimami wala haumsubiri mtu,
Just enjoy life where you are now,Time slips like grains of sand never to return again.
Kuna movie yake moja ya Denzel,wale wakongwe wa filamu wataielewa inaitwa "Mississippi massala" sijui kama watoto wa 2000 wataielewaNimeangalia movie ya Denzel ya mwanzo kabisa "Carbon Copy" ya mwaka 1981.
Very funny movie.
Naikumbuka vizuri sana...Kuna movie yake moja ya Denzel,wale wakongwe wa filamu wataielewa inaitwa "Mississippi massala" sijui kama watoto wa 2000 wataielewa
Ova
Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian candidate, Antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu
Juzi nimeona picha yake akiwa na miaka 70, amezeeka ni babu, uzee is real.
Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4, mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na Ulaya hawazeeki ovyo.
View attachment 3214316
Wapi picha ya mkewe?
Hivi watoto wake ni kina nani hao?View attachment 3545466View attachment 3545467View attachment 3545468View attachment 3545469View attachment 3545470
Tokea ujana mpaka uzee na sasa watoto wao ndiyo wanakiwasha Hollywood.
Hivi watoto wake ni kina nani hao?
Safi, nitatafuta filamu zao..
Safi, nitatafuta filamu zao..