Nimeshuhudia Familia ya kimafia with Low Key Tanzania

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,673
Reaction score
14,052
Hii familia mpaka leo nikiitafakari huwa sipati jibu,

Kwanza ni familia ya kiungwana sana wako very very humble ni wacha Mungu, na kanisani hawakosekani na ni watu wenye kusaidia wengine kwa moyo bila kujisifu,

Ni familia ya kipato cha kati si matajiri wala si masikini wako OK,(Juuuuust right)

Baba, mama na wanae pamoja na binti wapo wazi sana kwenye mambo yao ya kifamilia, watoto wanajua siri zote za baba yao na siri zote za mama yao.

Sinema inaanza hivii,,,alitokea mtu anayejiita PASTA wa haya makanisa ya mbogamboga,,,,akamtongoza mama wa hii familia,

Kama kawaida yao, hii familia baba mama watoto hawafichani jambo,,,,,mama kaleta hili jambo mezani (kwa familia),,wakalijadili wakasema mpuuzie,

PASTA akaendelea kumsumbua huyu mama wa hii familia(ambao mie nawaona ni mafia kwelikweli)....mwishowe Familia ikaamua hebu fanya kama unamlegezea tuone upepo,

PASTA akawa anampatia huyu mama fedha nyingi na mama akawa anazileta katika meza ya familia huku wakimjadili na kupanga wamchukulie hatua gani ya kimafia bila maumivu,

Hii familia wakaamua hili jambo lifike mezani kwa mke wa PASTA.

KIjana mkubwa wa hii familia akapewa hili zoezi pia akawezeshwa kifedha n.k....kijana akaambiwa ahakikishe anamjaza mimba huyo mke wa PASTA.(hapa ndipo nilipo hakikisha bila kuwa na shaka kwamba hawa ni (LA COSA NOSTRA OG)wengine ni photocopy.

Kweli mke wa PASTA akabeba ujauzito,,kama kawaida dunia haina siri,,waswahili wakaanza mmmmh,,ngoja tuone mtoto atakapo zaliwa.....lahaula mtoto akatoka COPYRIGHT na ile familia ya kimafia,,,

Maneno yakavuma mpaka yakamfikia PASTA,,,,,

GHafla PASTA akaanza safari za huku na kule akisema anakwenda kupeleka neno sehemu zisizofokika,,,

Leo hii tunapozungumza huyu PASTA aliitelekeza familia yake...inasemekana yuko aidha Malawi au Congo,,na yule mtoto ni mtu mzima kwa sasa anafamilia yake,,,,na ile familia ya kimafia walishachinja kondoo na kufanya utambulisho kwamba sisi ni nduguzo,
AMEN
 
Aaaah kudadeki
 
Mwisho hapo sijaelewa huyo Kondoo imetoka wapi tena, maana kule juu mwanzo kabisa sikumuona Kondoo yoyote umemzungumzia na hio Malawi si inajulikana mapasta wa Malawi wapoje
Story imerukaruka kichura Mpaka haieleweki, ghafla naskia mke wa pasta nae yumo ndani apewe mimba hata cjui imetokeaje, haya ndo madhara ya kupewa story za kuambiwa baada ya mhusika nae kuambiwa.
 
Kuchinja kondoo ni kujitambulisha kimila kuwa mtoto wa mke wa mchungaji ni wao.
 
Story imerukaruka kichura Mpaka haieleweki, ghafla naskia mke wa pasta nae yumo ndani apewe mimba hata cjui imetokeaje, haya ndo madhara ya kupewa story za kuambiwa baada ya mhusika nae kuambiwa.
Tatizo ni kutotulia wakati wa usomaji!
 
Back
Top Bottom