MovingForward
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 489
- 49
Kuna watu wanataka kuleta uchochezi hapa JF. Wasiokuwa na data za kutosha acheni mchezo wa kutupandishia mori bure!! Mtu anaandika kichwa cha post/thread ukizama ndani longolongo tupu!! Blaablaa hazitusaidii, ni uchochezi kama hauna data.