Elections 2010 Nimeshituka............................

MovingForward

JF-Expert Member
Nov 10, 2009
489
49
Kuna watu wanataka kuleta uchochezi hapa JF. Wasiokuwa na data za kutosha acheni mchezo wa kutupandishia mori bure!! Mtu anaandika kichwa cha post/thread ukizama ndani longolongo tupu!! Blaablaa hazitusaidii, ni uchochezi kama hauna data.
 
Umeshituka leo? Ukweli ni kwamba JAMII FORUMS inatumiwa na CHADEMA kuendesha propaganda. Mimi naipenda lakini kwa sasa nimeanza kupatwa na wasiwasi mkubwa.
 
Back
Top Bottom