Mambo mengine hupaswi kuyafuata hivyo,uongo unaruhusiwa katika mazingira kama haya,waongee na binti response yake ndiyo iwe hukumu yake,messeji isifutwe kama ushaidi na awekwe wazi kuwa haifutwi.
Huyo mkeo lazima tu atakuja kumwambia mdogo wake,wanawake wanna Siri basi, bora ata angekosea akatuma kwako,
Ni swala la muda tu, mwenye mke atajua kila kitu