Nimeshindwa namna ya kumshauri...

Mambo mengine hupaswi kuyafuata hivyo,uongo unaruhusiwa katika mazingira kama haya,waongee na binti response yake ndiyo iwe hukumu yake,messeji isifutwe kama ushaidi na awekwe wazi kuwa haifutwi.
Sawa mkuu, kila mtu ana namna anavyofikiri na kukabili na kutatua mambo tunayokutana nayo, mleta mada atachambua na kuona njia ipi inafaa na kuitumia.
 
Mualikeni yeye na mme wake nyumbani kwenu siku ya jumapili mchana,
Kisha muwape usia waishi kwa upendo
 
Huyo mkeo lazima tu atakuja kumwambia mdogo wake,wanawake wanna Siri basi, bora ata angekosea akatuma kwako,
Ni swala la muda tu, mwenye mke atajua kila kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom