Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Samahani nipo nje ya mada.Tafuta pesa tutakujali
Sikifahamu mkuu lakini AMREF Upanga wanapimaSamahani nipo nje ya mada.
Mama haukunitajia kituo chenye teknolojia ya kuona virusi kwa wiki mbili
NashukuruSikifahamu mkuu lakini AMREF Upanga wanapima
mkuu pole sanaaa, inatakiwa uwatembelee zaidi ya wanawake 15, piga piga ujue sampo mbalimbali za wanawake,, idadi ndogo uliyopita inakufanya usiwe compitence nao,,Ukijifanya unajali sana wanakuona boya na kukudharau kana kwamba kwake yeye ndo umefika atajifanya kukuonesha anakupenda lakini vitendo huvioni tena huu ndo mwanya wanaotumia kutokuwa waaminifu
ukionesha hali ya kutokujali san tena nalo tatizo wanalalama ohoo! Eti haunipenda haunijali sasa kitu gani mnachokihitaji wanawake
Unajali kwa kutuma sms tu ulizojiunga mwezi zisiishe??
Tafuta pesa tutakujali
Wee umenena....chakufanya ni kumchukulia mwanamke Kama chombo Cha starehe basi.Hivyo ndio walivyo. Unachotakiwa ni kuwa kwenye msimamo wako.. usizame sana usipende sana.
Yaan mchukulie poa tu
Najali kwa pesa bado naitwa buzi tu mana mtu kama naibiwa hali hii sihipendi sana kwahiyo naichukulia kama dharau nakuonekana boyaUnajali kwa kutuma sms tu ulizojiunga mwezi zisiishe??
Kweli? Hapo kuna shida ya siri.Najali kwa pesa bado naitwa buzi tu mana mtu kama naibiwa hali hii sihipendi sana kwahiyo naichukulia kama dharau nakuonekana boya