nakupa plans za kuombea condom(s) dukani kama kweli unajipenda..!
kwanza aibu ulizonazo, jaribu kuwa unaomba kalamu na karatasi kwa nesi kwanza, mwambie kuna dawa unashindwa
kuitamka hivyo, unataka kuiandika!! then, andika hichoo unachokitaka, tena andika ni ngapi kabisaaa ili usimchanganye!!
hii PLAN A lazima tu itakuwa applicable kwa sababu hakuna duka la dawa ambalo halina kalamu na karatasi kwa ajili ya
kuwaandikia wagonjwa wao dosage, therefore, hapa umefaulu kwa asilimia 100. Trust me, no more worries here!!
pili, incase plan A fails,.... plan B says Plan A is the best! so, go for plan A!
Thank you!